Gaddafi makes bizarre TV appearance!

Tatizo la china ni nini? hujui kwa sasa China ni second largest ecomy in the world from USA, je wanakosa gani lakwenda kuangalia huo uchaguai?
isitoshe China imewekeza makampuni mengi sana huko Sudani,
Fuatilia vizuri. Hii nguvu ya umma ya Libya is partly made in the USA, siyo fully home grown. It is highly staged, haina tofauti na elections zetu.

Open your eyes man!!!! Kuna mafuta mengi Libya, Chinese wamechukua mafuta ya Sudan. Sadam alikuwa "dictator" kwa sababu alikuwa na mafuta.

Hivi unajua kwa nini waangalizi wa EU wamesema Uchaguzi wa Uganga haukuwa free and fair lakini walichelewa kutamka hivyo kuhusu Uchaguzi wetu? Hivi unajua kwamba China kwa mara ya kwanza walipeleka election observer kwenye kura ya maoni South Sudan? Chinese? Election Observers?
 
prove it or let it be discurded
wanaokaa huko ndio wanalaalmika wewe unatetea nini?
je ni lini ulikuwa huko?
2 or 3 years ago are not same as now.
Kumbuka hali ni mbaya karibu kila sehemu ya dunia
USA,EU etc wote pia wanalia tu na shida
ina maana wewe unatakaa kusema hao waandamanaji ni wajinga sana?
Mie nilikuwa huko for 2yrs. Msidanganywe na propoganda chafu. Libya wana hali nzuri mara 100 zaidi yetu.
 
wewe acha huo u nazi wako, ooh kila kitu eti ni USA,
Tunisia, USA, eGYPT USA, kila kitu USA.. mda mwingine mnamlaumu USA kwa bure tu
mfano huko Libya hakuna hata access ya internet wala mawasiliano yeyote kutoka nje, je USA inakuwaje ni mastermind?
wewe huna pointi ya kumsapoti huyo jamaa yako.
Hata alipokuja Uganda akawa anatoa mikomenti ya kijinga jinga tu kama sio kiongozi.
Mara anasema:
Gaddafi sparked off a religious furore when he suggested that the modern day version of the Bible is inaccurate. He said: “The Bible we have now is not the one that was revealed to Issa [Jesus] and the Old Testament is not the one that was revealed to Musa [Moses]. Muhammad is mentioned in both (original versions), but the Tora and Bible we have now, there is no mention of him.”
He added: “It means that it [the Bible] has been forged. The Prophet Muhammad was sent to mankind. Allah wanted mankind to have one religion. The Koran that we have is the only book that was sent by Allah. We believe in the Bible as well as the Tora.”
Church officials in Uganda described Gaddafi’s statements as “inflammatory” and urged their flock to ignore his sentiments.

Mkuu, kwa heshima na taadhima naomba uniruhusu nisikujibu tena. Akili yangu ndogo, haiwezi ku comprehend your logic. Niwie radhi mkuu, tafadhali
 
ghadaffi ameifanyia makubwa sana Libya, ni tofauti kubwa na Tunisia, Egypt na Africa kwa ujumla. Huyu ameiweka Libya vizuri mno, kubwa hapo ni kukaa madarakani kwa muda mrefu na si hali za ajira, hali ngumu ya maisha, uchumi kudorora.
well watu watakuwa wameshamchoka ingawa sio wote.
ila pia kumbuka tangu economic crisis ilivyotokea hali ya nchi nyingi sana ni tete na bado ni tete sana kwa sasa
hata USA wenyewe bado wanajikongoja na kukosekana kwa ajira,mfumuko wa bei,maisha magumu n.k
hali kadhalika na maeneo mengine kama huko Libya pia hali ni mbaya sana kwa sasa
kwani hawa wengi hawana chakula cha kutosha,ajira pia ni tatizo,na kukosekana kwa uhuru
 
"Speaking from his favourite location, Tripoli's bombed-out Bab Al-Azizia Barracks, he referred to the protesters variously as "cockroaches" and "traitors" who were "drug-fuelled, drunken and duped"."

anaweza akawa serious huyu. watu wa Libya wanahitaji msaada wa haraka.
 
Hahaa, niko ofisini natafuta ada ya mtoto halafu ole wake mtu aje aniite fisadi!

Bogaloo nikitia mguu mawazo tele, naanza kufikiria mwisho wa mwenzi nawatoaje watanzania wangu! Hawachelewi kunifanyia maandamano na sina mabomu ya kuwatandika nayo!

Pole, vunja mifupa wakakati meno beno bado iko!
 
Pia kasema kasema wanaokiuka misingi ya katiba ya nchi hukumu yake ni kifo. Mataifa ya ulaya wanawachochea vijana kwa kuwapa madawa ya kulevya. Zaidi ya hapo anasema waandamanaji wanataka kuigeuza libya kua nchi ya kiislamu. Anawauliza walibya wanataka nchi yao iwe kama somalia? Kasisitiza atapigana hadi tone la mwisho la damu yake akishirikiana na wafuasi wake. Pia kasema bado hajaanza kutumia nguvu japokua anatamani kufanya hivyo. Vijana wanaiga yale ya tunisia na misri. Anawaambia wananchi kama wanampenda waende mitaani kuweka mambo sawa. Anasema ke will die for his political belief.(martyr). Pia kasema ataisafisha libya nyumba kwa nyumba kama waandamanaji hawata salimu amri. Hayo ni baadhi tu ya mengi yaliyozungumzwa na gaddafi huku akiwa amefura ile mbaya na mate yakimtoka mdomoni.
 
Following Libyan leader Muammar Gaddafi’s controversial speech on Tuesday, Libya has been immediately suspended from the Arab League, reported al-Jazeera around 8pm on Tuesday.

Details are yet to be divulged, but the move is significant, as many other Arab states are also facing unrest in the wake of the resignations of Tunisia and Egypt’s presidents following mass demonstrations.
 
sorry if u think ur offended,
Bjut I was trying to tell u that a leader should always put aside his religious belief.
He once himself said that if given a Chnce to be an AU president he would respect all religious without any interfeerence.
so is the good leader?
did he think that all africans would like to use Sharia's laws?
Mkuu, kwa heshima na taadhima naomba uniruhusu nisikujibu tena. Akili yangu ndogo, haiwezi ku comprehend your logic. Niwie radhi mkuu, tafadhali
 
ghadaffi ameifanyia makubwa sana Libya, ni tofauti kubwa na Tunisia, Egypt na Africa kwa ujumla. Huyu ameiweka Libya vizuri mno, kubwa hapo ni kukaa madarakani kwa muda mrefu na si hali za ajira, hali ngumu ya maisha, uchumi kudorora.
natamka kwa uwazi kua hakuna raia wa nchi yoyote ktk bara la africa na baadhi ya nchinyingi za asia na ulaya mashariki ambao wanaweza kufikia ubora wamaisha ya walibya kwakila kitu wakojuu tenasana,mshahara wamlibya ni dola mpk 10000 kwamwezi nyumba unapewabure nagari nahudumazote zajamii nibure,maji umeme vyote nibure,hakunahata mtu 1 raiawalibya mwenyenguvu ambae hanakazi namalipo nimazurisana kuzidi hatanchi zaulaya,wanaonekana wamemchoka kwakua kaamda mrefu ila walibya watajuta akiondoka gadafi nchi haitotawalikatena watakua kama irak,mkataa pema pabaya panamwita,kwahakika nawahurumia walibya watajutasanasanasana kwaujinga wanaoufanya sasa kwakufuatamkumbo,libya kuna wanaijeria,waivory coart,mali,guinea nanchitela za west afrika wanaenda kutafta maisha libya kwakua kunamaslah namalipo mazuri,olewenu walibya mtajuta sanasanasana.
 
Mwera pls be honest to people.

Sasa wewe unawaongelea wakati wenyewe wameamua? Mbona hapa sielewi? Ina maana wao hawaoni hayo mazuri wameamua kufa kutokana na ujinga au kukosa fadhila? Bado narudia maneno yangu ya awali, I do not care whether he stays of goes, I only care that no one cares JK stays or goes!
 
Acha kudanganya watu na stori za kusimuliwa, juzi tu hapa mlibya nimempa hifadhi kwangu kachokaaa, namwambia si urudi kwenu naona maisha mazuri pato kwa kichwa liko juu, akasema sijui nisemalo.choka mbaya anasema huko maisha magumu huyo ni mlibya mwenyewe
 
mkuu hakuna kitukibaya kama kufanya jambo kwakufata mkumbo,flani kafanya na sisi tufanye,madhara yake nimakubwamno narudiatena walibya watajutasana,nchi yao iliyokua yakupigiamfano haitotawalika nahaitokalika tena,ngoja mtaona namtakumbuka manenoyangu,nanaahidi nitawakumbusha hapahapa jamvini.
 
Acha kudanganya watu na stori za kusimuliwa, juzi tu hapa mlibya nimempa hifadhi kwangu kachokaaa, namwambia si urudi kwenu naona maisha mazuri pato kwa kichwa liko juu, akasema sijui nisemalo.choka mbaya anasema huko maisha magumu huyo ni mlibya mwenyewe
huyo mlibya wakuchora mkuu hakuna mlibya hata 1 anaweza kuja kuomba hifazi hapakwetu,sisi wenyewe niwakimbizi ktk nchiyetu,nawala sijahadithiwa ninauhakika ninachokisema,walibwa wako mbele kimaisha zaidya watz mara200,nimesona libya 4years naijua juu chini,hakuna wakunidanganya.
 
Haya nimerudi tena jamani,nilikuwa nawatch UEFA CHAMPIONS LEAGUE na sasa ni half time.
Heshima ziwafikie popote pale mlipo mkuu Mallaba na mkuu Gurudumu kwa kuendeleza mdahalo huu.
Siyo siri mabishano yenu ni faida kwa wanaJF wenzenu ambao tulikuwa hatuijui vizuri history ya Libya na
watu wake. Naona kama mngekaa karibukaribu basi mngechapana ngumi za uso,lakini hii ndiyo JF watu
wanashindana kwa hoja mpaka kinaeleweka'' The home of Great thinkers'' Ila kwangu mimi sina huruma
na Gadaffi na ninapenda siku moja akamatwe na apelekwe The hegue Holland kujibu mashitaka against
humanity. Sasa narudi uwanjani kumalizia ngwe ya mwisho wasalaaam...............
 
huyo mlibya wakuchora mkuu hakuna mlibya hata 1 anaweza kuja kuomba hifazi hapakwetu,sisi wenyewe niwakimbizi ktk nchiyetu,nawala sijahadithiwa ninauhakika ninachokisema,walibwa wako mbele kimaisha zaidya watz mara200,nimesona libya 4years naijua juu chini,hakuna wakunidanganya.
mmmh.... kwa hati hii ya kwenye keybord,kweli wewe umesoma Libya? au ulisoma from std 1 till std 111? 'I mean primary school.
Usikasilike mkuu nilikuwa nakujoki tu tehee tehee teeee
 
huyo mlibya wakuchora mkuu hakuna mlibya hata 1 anaweza kuja kuomba hifazi hapakwetu,sisi wenyewe niwakimbizi ktk nchiyetu,nawala sijahadithiwa ninauhakika ninachokisema,walibwa wako mbele kimaisha zaidya watz mara200,nimesona libya 4years naijua juu chini,hakuna wakunidanganya.

wewe umejua je niko tz? teh teh teh
 
Back
Top Bottom