"Integration is in the interest of Afro-Arab communities," Gaddafi said through an interpreter as he closed the youth conference. "African leadership is paralysed. If we depend on constitutions, we are losing track."hebu tukumbushe...alipofika uganda alisemaje? ningependa nifaham mkuu!!!
Siku mbili tatu sijapata muda hapa sasa hawa rafiki zangu hawaongei kitu kinachoingia kwenye misuli ya akili yangu. Walidhani mimi hushabikia jambo lisilo na mantiki.
Bado sijaona sababu za msingi za kumuondoa gaddafi. Kama hawana kazi ya kufanya waje kutusaidia kumuondoa JK tutawalipa. Yaani tukodishe nguvu ya umma kwa sababu sisi tumeshindwa.
Narudia, statistically, gadaffi is an outlier yaani an awkward case katika viongozi waliokaa madarakani muda mrefu
Ni dhahiri aidha ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa mdogo sana wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda!Unapotosha historia au historia ina-kupotosha wewe. Wanajeshi wa Libya walikuwepo Uganda wakati wa Iddi Amin lakini hakutuma wana Jeshi kumsaidia Iddi Amin kupigana na Tanzania.
Na hata angetuma Jeshi lake kumsaidia Iddi Amin, asingekuwa na kosa.
Ya Nyerere na Iddi Amin, tuyaache kama yalivyo!
Mbona Nyerere alituma wanajeshi na kupeleka misaada kedekede kusaidia Biafra? Ilimuhusu nini au ilituihusu nini vita hiyo waTanzania?
Tusiwe wazembe wakufikiri na kuhusisha mambo yasio husiana natukio lilivyo kwa wakati uliopo.
Gurudumu, I get your point. I hear you loud and clear.
Not that when he is gone it will be bread and butter for Libyans. And democracy doesnt mean a change of leaders every after ten years. At least with that what it means people have made a choice. Whether they have repeatedly made a bad choice doesnt translate to lack of democracy but to bad governance in a narrow sense.
So, here the question is, in this particular case does the Libyans want Gaddaffi to stay or go? For those who are already dead they wanted him to go. For those who are ailing on death beds with deady bullet wounds want him to go. And for those who have believed in him for those who have not felt the pinch of his autocratic rule they want him to stay. Or if they have felt it but are too scared to risk another devil then they think its better he stays.
I would agree to this thought, weird and cowardly as it is, he cant rule for another twenty years!! even if he wanted to he will naturally be unable to rule. That is also an option! Waiting is also democracy!
"Integration is in the interest of Afro-Arab communities," Gaddafi said through an interpreter as he closed the youth conference. "African leadership is paralysed. If we depend on constitutions, we are losing track."
Singling out Zimbabwe's Robert Mugabe and host President Yoweri Museveni as the most "visionary" leaders on the continent today, Gaddafi criticised multiparty politics and presidential term limits.
Gaddafi, who has been in power for 39 years, said: "Why should a leader relinquish power when he is doing good things for his people? There are people who talk about term limits. What are they? A constitution is simply a document drafted by people. A leader should only leave power by the will of the people. For example, President Museveni came into power through revolutionary means, not the vote. How can he simply go?"
He added: "If Museveni has the will of the people, he should be re-elected. Museveni came in through revolutionary means; his programmes are revolutionary. You need revolutionary leaders. We have leaders who have a clear vision; these should stay. You are talking about political parties, but that is not the reality. We have bigger problems. We want people's authority."
This was the second time Gaddafi was urging Museveni to rule for life, after he made similar remarks at the Ugandan leader's May 2001 swearing-in ceremony.
Gaddafi?s speech in Uganda a script from the 1960s
Halafu Mallaba, hizo cut and paste siyo mawazo yako, unatujazia thead na uchafu bana.
Ahaaa, now you are walking majestically! Kilichotakiwa Libya siyo ku copy and paste nguvu ya umma bali to call for national dialogue for Libya beyond Gaddafi. He is now old and probably not fully in-charge. Some evil dictators are likely to crop out from his linesmen, which is dengarous.
Libyans should define their future based on their own context, not copy and paste from others and especially not from America
Gurudumu, you have made me think for a minute, kwa nini uone hakuna sababu za msingi kumuonda Gaddafi? Kwani wewe ni Mlibya? And with the same breathe najiuliza kwa nini wengine waone ni sawa kumuondoa? Kwani na wao ni Walibya?
Je kuwepo kwake au kutokuwepo kwake kunatusaidia nini sisi watanzania? JK wetu tunataka awepo au asiwepo? Kumbe kuondolewa kwa mtu si kwa sababu ameshindwa kazi ila anaondolewa kwa sababu amekaa muda mrefu?
As for me I from now dont care whether unaona kuna sababu aondoke au la. I do not care kama wengine wanataka aondoke, I only care kwamba none cares JK abaki au la!
That for me is what am concerned of now. And even more concerned kwamba Waafrika na wengi wetu tumekuwa wepesi kuwapigia kelele viongozi na kuviacha vyama kama CCM ambavyo vimekaa miaka milele!! Kwani udikteta ni wa mtu tu? Je chama hakiwezi kuwa dikteta?? Si tuanze na sisi basi?
wewe Gurudumu acha kutudanganya, hivi unataka kutuambia kwa serikali ya Ghadafi mtu anauwezo wa kuhoji chochote au kuwa na dialogue?Ahaaa, now you are walking majestically! Kilichotakiwa Libya siyo ku copy and paste nguvu ya umma bali to call for national dialogue for Libya beyond Gaddafi. He is now old and probably not fully in-charge. Some evil dictators are likely to crop out from his linesmen, which is dengarous.
Libyans should define their future based on their own context, not copy and paste from others and especially not from America
watu wameuliza maswali kwamba je Ghadafi alipokuja Uganda aliongea nini?
nimejaribu kumwekea mtu maelezo na link zake, siwezi kuandika kila kitu
ndio maana mtu unampa link za information zote, baya liko wapi kaka?
usiwe na hasira, wewe bado huna sababu ya kumsupport huyo baladhuli wako huyo
Mbona unaongea point hivyo, uko Bugaloo nini?
Please clarify, what is it that they should not copy from America?
Fuatilia vizuri. Hii nguvu ya umma ya Libya is partly made in the USA, siyo fully home grown. It is highly staged, haina tofauti na elections zetu.
Open your eyes man!!!! Kuna mafuta mengi Libya, Chinese wamechukua mafuta ya Sudan. Sadam alikuwa "dictator" kwa sababu alikuwa na mafuta.
Hivi unajua kwa nini waangalizi wa EU wamesema Uchaguzi wa Uganga haukuwa free and fair lakini walichelewa kutamka hivyo kuhusu Uchaguzi wetu? Hivi unajua kwamba China kwa mara ya kwanza walipeleka election observer kwenye kura ya maoni South Sudan? Chinese? Election Observers?
Fuatilia vizuri. Hii nguvu ya umma ya Libya is partly made in the USA, siyo fully home grown. It is highly staged, haina tofauti na elections zetu.
Open your eyes man!!!! Kuna mafuta mengi Libya, Chinese wamechukua mafuta ya Sudan. Sadam alikuwa "dictator" kwa sababu alikuwa na mafuta.
Hivi unajua kwa nini waangalizi wa EU wamesema Uchaguzi wa Uganga haukuwa free and fair lakini walichelewa kutamka hivyo kuhusu Uchaguzi wetu? Hivi unajua kwamba China kwa mara ya kwanza walipeleka election observer kwenye kura ya maoni South Sudan? Chinese? Election Observers?
wewe Gurudumu acha kutudanganya, hivi unataka kutuambia kwa serikali ya Ghadafi mtu anauwezo wa kuhoji chochote au kuwa na dialogue?
nchi yenyewe haina hata katiba, na yeye mwenyewe anasifia kutokuwa na katiba, sasa ulitegemea wananchi waliomchoka wafanye nini??
ni kama hapa tz hata useme nini CCM nad KIKWETE never listern, wananchi wafanyeje zaidi ya kuandamana?