Gaddafi kajichimbia!

Gaddafi kajichimbia!

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,727
Duhu, kwa dizaini hiii NATO itawachukua miaka mingi kumpata kamanda!

ghatafi.png
 
achimbuliwa tu.. lakini, mbona yeye ndiye anafanna na 'rats'?
 
Osama alijichimbia kwa muda mrefu at the end alikamatwa. Tusubria michakato ya NATO.
 
watamkamata kama panya tu acha chezea moto wa NATO
 
Gadhafi can run around as much as he likes but can't hide forever.
 
Back
Top Bottom