Malengo ya muislam yeyote ni dini ya Allah kushika hatamu,haijalishi ataanza na njia gani au atapitia chochoro ipi,ila mwisho wa siku lazima ahakikishe dean inasimama.
Wakati anaendelea kutekeleza miakakati yake ya africa moja,moja ya sharti kuu ilikuwa ili upewe mkopo lazima ukubaliane na sharti kuu la kubadili dini,maana hawezi kukupa mkopo wenye manufaa ya kiislam(usio na riba)wakati wewe si muislam.hii ilifanya akawa peke yake ktk vita anayopigana bila kujua.
Wakati ambapo wale aliokuwa amewabana kisawa sawa wametii(wakoloni),yeye alikuwa anaendelea kuchezesha kete zakw vibaya bila kujua,kwanza hii ya udini,na nyingine ile ya kutawala mielele,wakoloni wakazitumia vyema.