Nchi nyingi zilizoko Afrika kaskazini wana thamini sana uafrika. Mfano Majina ya mitaa / barabara / viwanja yanapewa majina ya miji au viongozi wa Afrika. Pia mchango wao katika ukombozi wa bara la Afrika ulikuwa mkubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.