Can someone pls enlighten me on this? What exactly is missing about Moody in the Bible? Mwislam mmoja aliwahi kuniambia kuwa Yesu alipowatokea wanafunzi wake na kuwaambia "Nitawatumia msaidizi" alichomaanisha ni Mohammed na si Roho Mtakatifu kama waKristo tunavyoamini.
PS Mods I m sorry if this isnt d right forum 2 ask.
mkuu mukombosi,Nakusupport Lunyungu.
Mbona sisikii,waislamu wakichangia hili?Au wamefurahi kashfa zilizotolewa zidi ya wakristo?Nakumbuka yule teacher wa Tanga alivyoburuzwa kwa kuukosoa msaafu,takribani nchi nzima waling'aka zidi ya huyo teacher na other christian.
Nauliza hata hao waliokuwa naye walishindwa kumchapa swali?Ni vema watz tujihoji kama mkuu wa nchi anakashfu dini ya wengine,hivi waumini watafanya nini?si ndio maana movement za ngijangija na mapanga haziishi?
Infact hatuhitaji ushauri juu ya biblia yetu,haiwahusu hata kidogo.shut up.
All christian in tz na dunia kwa ujumla,lazima tuje jibu mashambulizi ya uhakika,na nina amini siku hiyo itakuwa mwisho wa kila kitu na dunia kwa ujumla.Mungu tujalie ktk hili.
mkuu mukombosi,
kama kwenye hiyo statement ulikuwa wakusudia mashambulizi kuangamiza watu haitonza hapo command yako kwa all christian in the world including TZ itakapoanza kutekelezwa;nikianza na matukio ya hivi karibuni:visit hii link(http://www.counterpunch.org/roberts02042008.html) ili u match na hizi hoja zangu hapa chini.
1).mara baada ya kutokea 9/11,miongoni mwa statement za kwanza kuzitoa Bush ni pamoja na kusema kinachotakiwa kufanywa Afghanstan ni CRUSADE war.2)Hoja zisizopata majibu ya kutosha zinajengwa maeneo mbalimbali juu ya kutokamatwa kwa Osama Bin Laden,amabe kalelewa na USA kijeshi kwa maslahi yao against USSR,hususwan ukizingatia uwezo mkubwa wa kijeshi uliokuwa nao USA.Zaidi ya hapo hoja ziotolewazo na Pentagon, ikiwa ni pamoja na kuhofia civilwar in pakistan-afgha border, hazingii akilini kwa wanaojua USA wasivyajali maisha ya wengine pindi inapohitajika kutetea maslahi yao.3)
kutopatikana kwa weapons of mass destructions Iraq kwa Saddam Hussein,ambae walimtumia kuwaua waIran kwa silaha za KIBIOLOGIA,hii ni miongoni mwa hoja zilizo wazi kabisa kwa FREEMINDS ambayo WHITEHOUSE na PENTAGON wanaendelea kujikanyaga hadi mgawanyiko watokea na wadua wakuu kuanza kuonesha dunia the real mission ya USA-the mission against islaam.
4)ukweli kuwa kwenye zile WTC towers kulikuwa na wayahudi wasiopungua 500 na hakuna hata mmoja alikufa hadi leo haulezwi vizuri,ingawa kuna hiyo fact.
5)Pfc.Lynndie R.England,miongoni mwa army intelligence officers waliohusika na Abu Ghuraib scandal, baada kutoka kumaliza kifungo cha miezi 36(kama kweli alifungwa-Mwenyezi Mungu ndio Mjuzi) ndio aka reveal secrecy ya torture halisi iliokuwa imefanywa pale,na aka kili kuwa kile ni humiliation(kumbuka kuwa zaidi ya 90% kama siyo 100% ni muslims).Ningebandika picha za Abu Ghuraib hapa ila naogopa kuchupa mipaka ya dini ku expose nyeti za watu,ila ni maarufu weblinks,waweza visit hapa(http://www.countercurrents.org/iraq-jazeera050504.htm ) kupata news zake
It's a matter of time,ukweli utakuja kudhihirika,kama ambavyo ilikuja bainika kwamba ni wao wenyewe wali plot bombing ya bunge lao wenyeyewe wakasema hivihivi ni ugaidi.
Hapa sikusudii kutoa malalamiko kwa yoyote,kwa sababu najua kuwa lazima kutokee sulba kama hizi pindi haki yataka kutetewa,mifano halisi kwa mitume wote-hakuna ambaye alikosa hizi taabu lakini mwishoe haki yaja kudhihiririka.
mfano halisi Firauni(Pharao) alipoamua kuangamiza watoto wote wa kiume waliokuwa wanazaliwa,kwa sababu alijua kuna mtu aitwae nabii Mussa atakuja kuwakomboa wana wa Israel hivyo kupoteza ufalme wake pia huenda angelipiziwa kisasi kutokana na alivyokuwa akiwatesa
Ndivyo ambavyo monks wakiyahudi wanajua wazi ukweli wa Quran na what will happen to them ndio maana imekuwa remotecontrol ku control america kuangamiza umma wa wasiokuwa na hatia huku wakijifanya wako mbali na hilo.
Pia wawezapitia articles za NewWorldOder na stratigies za FreeMansons ambapo hapa waislaam na baadhi ya wakristo wanaingia katika kundi moja,ingawa the first enermy ni islaam.
Binafsi naendelea kusisitiza kuwa siko pamoja na yoyote anayeponda miungu ya dini zingine-, kwa sababu hili limekatazwa kwenye Quran tukufu kwa kutajwa kuwa watamtukana ALLAH pasi na kuwa na elimu,hivyo kuhesabika ni wewe umemtukana-ni hatari saana.Isipokuwa ni rukhusa kujadili nao kwa hekima,uoni na busara
Kwa kifupi mkuu plan yoyote ile haiwi hadi MweziMungu atake,pia ni kutaka kukumbusha tu kuwa hayo mashambulizi ya uhakika unayoyasema yameanza muda mrefu saana,na yanaendelea na yataendelea......
Nawakumbusha waislaam kuwa tujitahidi kuwa wachaMungu wa kweli ikiwa ni pamoja na kujiepusha na hamasa zinazoweza pelekea kumuasi Muumba,tuwe na subira...hii humiliation ya hapa duniani ni ndogo saana ukilinganisha na taabu za akhera zitakazompata muovu.Siku zote ushindi hautokani na Wordly powers,hutokana na SUPREME POWER OF the ALMIGHTY-na MwenyeziMungu yuko pamoja na watenda wema,wenye kusubiri.
CRASADEHili ni neno ambalo huwachanganya wengi......Jaribu kutafuta ENGLISH-SWAHILI DICTIONARY....na tazama neno hilo maana yake....WE HAVE TO UNDERSTAND(remember) KWAMBA KUNA baadhi ya maneno yana maana zaidi ya moja, NA MOJAWAPO NI HILI CRUSADE....MAPAMBANO YOYOTE ya(kufa na kupona)DHIDI YA MAJANGA KWA BINADAMU NI CRUSADE VITA DHIDI YA KIFUA KIKUU,POLIO,NJAA,UJAMBAZI NA HATA UGAIDI NI CRUSADE HIYOOOOO....!mkuu mukombosi,
kama kwenye hiyo statement ulikuwa wakusudia mashambulizi kuangamiza watu haitonza hapo command yako kwa all christian in the world including TZ itakapoanza kutekelezwa;nikianza na matukio ya hivi karibuni:visit hii link(http://www.counterpunch.org/roberts02042008.html) ili u match na hizi hoja zangu hapa chini.
1).mara baada ya kutokea 9/11,miongoni mwa statement za kwanza kuzitoa Bush ni pamoja na kusema kinachotakiwa kufanywa Afghanstan ni CRUSADE war.2)Hoja zisizopata majibu ya kutosha zinajengwa maeneo mbalimbali juu ya kutokamatwa kwa Osama Bin Laden,amabe kalelewa na USA kijeshi kwa maslahi yao against USSR,hususwan ukizingatia uwezo mkubwa wa kijeshi uliokuwa nao USA.Zaidi ya hapo hoja ziotolewazo na Pentagon, ikiwa ni pamoja na kuhofia civilwar in pakistan-afgha border, hazingii akilini kwa wanaojua USA wasivyajali maisha ya wengine pindi inapohitajika kutetea maslahi yao.3)
kutopatikana kwa weapons of mass destructions Iraq kwa Saddam Hussein,ambae walimtumia kuwaua waIran kwa silaha za KIBIOLOGIA,hii ni miongoni mwa hoja zilizo wazi kabisa kwa FREEMINDS ambayo WHITEHOUSE na PENTAGON wanaendelea kujikanyaga hadi mgawanyiko watokea na wadua wakuu kuanza kuonesha dunia the real mission ya USA-the mission against islaam.
4)ukweli kuwa kwenye zile WTC towers kulikuwa na wayahudi wasiopungua 500 na hakuna hata mmoja alikufa hadi leo haulezwi vizuri,ingawa kuna hiyo fact.
5)Pfc.Lynndie R.England,miongoni mwa army intelligence officers waliohusika na Abu Ghuraib scandal, baada kutoka kumaliza kifungo cha miezi 36(kama kweli alifungwa-Mwenyezi Mungu ndio Mjuzi) ndio aka reveal secrecy ya torture halisi iliokuwa imefanywa pale,na aka kili kuwa kile ni humiliation(kumbuka kuwa zaidi ya 90% kama siyo 100% ni muslims).Ningebandika picha za Abu Ghuraib hapa ila naogopa kuchupa mipaka ya dini ku expose nyeti za watu,ila ni maarufu weblinks,waweza visit hapa(http://www.countercurrents.org/iraq-jazeera050504.htm ) kupata news zake
It's a matter of time,ukweli utakuja kudhihirika,kama ambavyo ilikuja bainika kwamba ni wao wenyewe wali plot bombing ya bunge lao wenyeyewe wakasema hivihivi ni ugaidi.
Hapa sikusudii kutoa malalamiko kwa yoyote,kwa sababu najua kuwa lazima kutokee sulba kama hizi pindi haki yataka kutetewa,mifano halisi kwa mitume wote-hakuna ambaye alikosa hizi taabu lakini mwishoe haki yaja kudhihiririka.
mfano halisi Firauni(Pharao) alipoamua kuangamiza watoto wote wa kiume waliokuwa wanazaliwa,kwa sababu alijua kuna mtu aitwae nabii Mussa atakuja kuwakomboa wana wa Israel hivyo kupoteza ufalme wake pia huenda angelipiziwa kisasi kutokana na alivyokuwa akiwatesa
Ndivyo ambavyo monks wakiyahudi wanajua wazi ukweli wa Quran na what will happen to them ndio maana imekuwa remotecontrol ku control america kuangamiza umma wa wasiokuwa na hatia huku wakijifanya wako mbali na hilo.
Pia wawezapitia articles za NewWorldOder na stratigies za FreeMansons ambapo hapa waislaam na baadhi ya wakristo wanaingia katika kundi moja,ingawa the first enermy ni islaam.
Binafsi naendelea kusisitiza kuwa siko pamoja na yoyote anayeponda miungu ya dini zingine-, kwa sababu hili limekatazwa kwenye Quran tukufu kwa kutajwa kuwa watamtukana ALLAH pasi na kuwa na elimu,hivyo kuhesabika ni wewe umemtukana-ni hatari saana.Isipokuwa ni rukhusa kujadili nao kwa hekima,uoni na busara
Kwa kifupi mkuu plan yoyote ile haiwi hadi MweziMungu atake,pia ni kutaka kukumbusha tu kuwa hayo mashambulizi ya uhakika unayoyasema yameanza muda mrefu saana,na yanaendelea na yataendelea......
Nawakumbusha waislaam kuwa tujitahidi kuwa wachaMungu wa kweli ikiwa ni pamoja na kujiepusha na hamasa zinazoweza pelekea kumuasi Muumba,tuwe na subira...hii humiliation ya hapa duniani ni ndogo saana ukilinganisha na taabu za akhera zitakazompata muovu.Siku zote ushindi hautokani na Wordly powers,hutokana na SUPREME POWER OF the ALMIGHTY-na MwenyeziMungu yuko pamoja na watenda wema,wenye kusubiri.
Thenashara woote walishaaga dunia kabla hata babu yake Muhammad hajazaliwa, hivyo don't be twisted with fallacious empty claims..
Ni kweli kuwa the bible has been changed so many times. Infact it is written by amateurs. He is right to call it fake. If christians accepted Muhamad, it would have been the end of christianity as a religion.
Proof hii hapa kuwa bible ya leo imeandikwa na amateurs na vitu vingi vimeondolewa.
http://en.wikipedia.org/wiki/Misquoting_Jesus
Mtindio wa ubongo (Allah's Slave is my name)
MtindioWaUbongo,Wale wale..
Kuwa objective bana..hapa yanayozungumziwa ni :
GADAFFI ASEMA HOLY BIBLE NI FAKE..
Sasa linganisha kichwa cha habari na hizi tambo ulizomuvusisha..
HAPA NAPATA WAZO JINGINE.....AU GHADAF ALITAKA KUZUNGUMZIA SATANIC VERSES....!
pasaka hii nimemtumia ghadaffi kwa adress yake kitabu "kitukufu " cha SATTANIC VERSE..na kumuuliza kwa nini rushdie anakuwa condmned as if kasema kweli??
MtindioWaUbongo,
Kwenye mistari ya hoja huwa kunaibuka hoja pia,hapo nilikuwa najaribu kumuonesha Mukombosi kuwa hayo mashambulizi ya uhakika dhidi ya uislaam yameanza muda mrefu sana,na yanaendelea-ni kwamba yamepewa majina mazuri tu ili yaonekane si dhidi ya uislaam na waislaam....na huo uvumilivu wa wakristo kwa waislaam uliolezwa na wachangiaji wengi hapo juu si sahihi.Tofauti iliopo ni kwamba wengine wanatumia B52 na CARPETBOMBS wakati wengine wana express thru DEMONSTRATIONS.
VITA YETU SI JUU YA DAMU NA NYAMA, BALI TUNAOUWEZO WA KUTEKA NA KUANGAMIZA NGOME ZOTE ZA SHETANI KWA SABABU MUNGU YUKO UPANDE WETU.
MTETEZI WETU YUKO HAI NA ANALIPIGANIA KANISA LAKE NA SI MWANADAMU KUPIGANIA KANISA.
MWENYE UFAHAMU ANALALA AKIJUA MUNGU HALALI WALA HAPATI USINGIZI.
INGEKUWA DINI ILIYOJENGWA KWA PHILOSOPHY ZA MWANADAMU UNGEONA KIVUMBI CHAKE. KWA NINI WASIPIGANE WAKATI MUNGU WAO AMELALA?
KANISA LILIOJENGWA KWENYE MSINGI IMARA AMBAO NI KRISTO MWENYEWE HALIWEZI KUANGUKA IJAPOPIGA TUFANI NA MATETEMEKO YA KILA AINA.
MMeshashindwa kimaandiko sasa mnaanza ku play victims. Nimetoa linka ambayo imeonyesha dhahiri na kutoa uthibitisho ambao haupingiki kuwa bible imeandikwa na amateurs. Gadaffi was right to say its fake.(My opinion)
Nakubaliana na Gadafi kwa asilimia 100. He is stating the obvious. We all know its fake. Gadafi continue to use your freedom of speech. You are doing the right thing brother.