Gadaffi apinga mfumo wa vyama vingi Afrika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gadaffi apinga mfumo wa vyama vingi Afrika.

Discussion in 'International Forum' started by Exaud J. Makyao, Feb 5, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa umoja wa Afrika Rais Gaddafi wa Lyibia amepinga mfumo wa vyama vingi vya siasa Afrika.
  Anapendelea mfumo wa chama kimoja tu.
  Amependekeza kuwepo azimio litakalo kataza kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa Afrika.
  Eti anataka nchi za Afrika zifuate mfano wa nchi yake Lyibia ambako vyama vingi haviruhusiwi.
  Tutafika kweli?
  Afrika inakwenda nyuma au mbele au inatumbukia shimoni?
  Mimi sijui.
   
 2. mwakatojofu

  mwakatojofu JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gadafi bwana.
  Ninaposoma habari hiyo hapo juu ninakumbuka mambo kibao. Ninajaribu kukumbuka hali ilivyokuwa wakat wa chama kimoja.
  Kwamfano, dk. Slaa angekuwa bungeni leo hii? Au watu wa sampuli ya dk. Slaa wangekuwa wapo mle bungeni? Watu ambao si watu wa yes SIR. Hoja anazowakilisha leo bungen na wabunge wenzie wa upinzan zingewasilishwa bungen? Hapa unaweza sema mbona wapo akina anne malecela na wengineo kutoka ccm lakin mi naamin hao wanakuwa na nguvu zaid kunapokuwa na upinzan. Wengi katka ccm utakuta ni kina ndio mkuu ili next bunge wawemo ndani. Vyama vingi ni njia mbadala ya watu wanaofaa kwenda kutusemea tusio na saut huku vijijin na mijin.
  Wapinzan wamekuwa mbele hapa tz kupinga ufisad. angalau kweli bunge linaichangamsha serikali. Na naamin bila upinzan kusingekuwa na vita hii (kali?) ya ufisad inayoongozwa na mjeshi kikwete. Wapinzan huiamsha serikali. Tz ni mfano
  Libya huenda haina ufisad au uzembe kama ule uliowadondosha kina lowasa au kama ule wa kununua rada au kama ule wa umeme wa iptl, lakin tz upo. Ni watu kutoka vyama vya upinzan ndo wanatakiwa kuibana serikali kuhusu kadhia hiyo. Wale wa ccm ama wamelala, au wako bize kujikomba wapate uwazir na nk, au wanaona sio vizur kuiuliza serikal ambayo ni ya chama atokacho. Kwa hiyo wanabak kuuliza tuswali tudogotudogo ambato tungeweza ulizwa penginepo. Halaf wepes wa kuunga mkono kila kitu wasijeonekana wanaibana serikal ‘yao'. Na wakiibana sana utakuta wanaitwa kwenye vikao vya chama na kuwa ‘displined'.
  Naam, kwa tz, vyama vingi viendelee.

  Kuna gharama kubwa ya kuendesha chaguz na kuvihudumia vyama vyote lakin kwa Tanzania tukifanya cost benefit analysis mi na come up with more benefits than costs.

  Wengine katka upinzan wanajikomba ccm au hawawajibiki ipasavyo, lakin sio rahis kukosa defects popote
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwakatojofu,
  Mawazo yako yanaleta mwanga fulani.
  Suala la mfumo wa chama kimoja analopendekeza Gadaffi, litaleta mjadala mkubwa nadhani.
  Tusubiri mawazo ya wengine.
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  i dont see a leader there but a picture of a leader
   
 5. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mawazo yako ni changmoto.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hii habari mbona haina source reference? au ni ya kutunga?
   
 7. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  DAR,
  Kindly visit,
  forums.projectcovo.com/Gadaffi
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nimeifata hiyo link uliyoniwekea lakini nncho kipata ni hiki:

  Not Found
  The requested URL /Gadaffi was not found on this server.

  Additionally, a 404 Not Found error was encountered while trying to use an ErrorDocument to handle the request.
  Apache/1.3.37 Server at forums.projectcovo.com Port 80
   
Loading...