People will never cease to amaze me. What an attitude!Mkurugenzi wa kampuni ya vinywaji Coca Cola na mjumbe wa Nec mwita Gachuma amezungumza na waandishi wa habari na kukanusha madai kuwa alikaa kikao na J. Kikwete, Ridhiwan, Rostam Aziz na Lowasa. Amesema kuwa yeye hawezi kukaa katika hoteli ya La-Kairo ambayo haina hadhi kuliko hoteli yake ya Mwanza Hoteli na kwamba siku ya kikao alikuwa Tarime.
Mkurugenzi wa kampuni ya vinywaji Coca Cola na mjumbe wa Nec mwita Gachuma amezungumza na waandishi wa habari na kukanusha madai kuwa alikaa kikao na J. Kikwete, Ridhiwan, Rostam Aziz na Lowasa. Amesema kuwa yeye hawezi kukaa katika hoteli ya La-Kairo ambayo haina hadhi kuliko hoteli yake ya Mwanza Hoteli na kwamba siku ya kikao alikuwa Tarime.
Nani anaweza kukubali kwamba alikaa nakupanga kuhujumu uchaguzi ni scandal. Hata Nixon wa USA alikanusha watergate scandal lakini mwishowe ilimtoa Ikulu. Hata EPA walikataa mpaka Spika Sitta alitishia kumpeleka Slaa polisi lakini wote tunajua matokeo. Wanaona aibu na kuogopa backlash ya Jumuiya ya Kimataifa.Wote watakataa kwa sababu ni kitendo cha aibu. Lakini ingekuwa ni sifa wangerukaruka na kushangilia!
Utetezi gani na huyo naye kama alikaa kikao na jk,ridhi,RA na ER kuna dhambi gani? shida labda agenda zao zilikua nini?Mkurugenzi wa kampuni ya vinywaji Coca Cola na mjumbe wa Nec mwita Gachuma amezungumza na waandishi wa habari na kukanusha madai kuwa alikaa kikao na J. Kikwete, Ridhiwan, Rostam Aziz na Lowasa. Amesema kuwa yeye hawezi kukaa katika hoteli ya La-Kairo ambayo haina hadhi kuliko hoteli yake ya Mwanza Hoteli na kwamba siku ya kikao alikuwa Tarime.