DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 12,737
- 28,645
G55 sio Ngeni Imeanza Tangu kwa Mwinyi na Ilishindwa
Ngoja tuone yajayo.Hao wanaojiita g55 watashangaa, think twice the number of , Central Committee, Central Council and the General meeting walipitisha agenda hiyo na wapo, what is 55 kwa vikao hivyo vitau vya kikatiba. Kwa chadema hii, wanapoteza muda.
UPUUZI HUU, ALL IS RUBBISH...LISU &Co. Ltd RUBBISH, G55 RUBBISH Erythrocyte take note of this...mnakwenda kugawanyka. TLP, CUF walianza hivi hivi....View attachment 3294633
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Kama wanataka kugombe waende vyama vingine,Chadema agenda ni NRNE iliyopitishwa na kamati kuu ya chama,wao ni nani hasa ndani ya chama kupinga maamuzi ya kamati kuu.View attachment 3294633
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
sasa bibi sandra na chadema wapi na wapiView attachment 3294633
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Kupoteza wananjaa 55 ni kyimarisha Chama maradufu!!Tu nataka demokrasia ndani ya chama chetu, tulipambana na udikteta wa Magufuli, tuko tayari kupambana na udikteta wa Lissu
NYOKA 55.View attachment 3294633
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Lissu na machawa wake walipinga maridhiano yaliyopitishwa na kamati kuu.Kama wanataka kugombe waende vyama vingine,Chadema agenda ni NRNE iliyopitishwa na kamati kuu ya chama,wao ni nani hasa ndani ya chama kupinga maamuzi ya kamati kuu.
Kwani chadema ni mali ya lissu?Si wakaanzishe chama chako?
Hoja.Hao wanaojiita g55 watashangaa, think twice the number of , Central Committee members, Central Council members and the General meeting members walipitisha agenda hiyo na wapo, what is 55 kwa vikao hivyo vitau vya kikatiba. Kwa chadema hii, wanapoteza muda.
Nyie madai yenu ya demokrasia mliishia wapi baada ya kupigwa bao la mkono pale dodoma.Nani kakwambia ni mapambano? Kudai demokrasia ndani ya Chadema ni mapambano? Uhuru wa kutoa mawazo ni mapambano?
Kwa nininapenda vurugu? Kama walikaa wakaona pori hilo haliwezi kwa panga lazima tutumie masururru, msumeno au mashine ya kukatia hiyo kibuyu, iweje leo wanataka kufyeka na panga?Kwani chadema ni mali ya lissu?