Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,481
- 5,357
Mtu mwenyewe salum tangu chadema amepooza alafu anaondoka nani ataangaika naye hata huyo benson hana ukubwa wowoteKwani Msigwa umemsikia tena?
Mtu mwenyewe salum tangu chadema amepooza alafu anaondoka nani ataangaika naye hata huyo benson hana ukubwa wowoteKwani Msigwa umemsikia tena?
Chadema inapitia stress za kuachwa dah !🐒Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.
Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
hivi malaria sugu yupo wapi siku hizi? yupo kweli au alipelekwa na covidIwapo Malaria2 umeyatamka bora hao G55 washike majembe wakalime
Shida walimbeza Sana lissu wakati anachukua fomu wakiona hawezi kushinda, sasa wasiyemtaka kaja.Kikubwa walipaswa kuwa wapole kwanza, Kila uongozi na zama zake.....Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.
Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Salamaleko maralia 2Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.
Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Wale wazushi tu,Haahaa nimeipenda hii sana, kwa anayekipenda chadema kwa dhati hawezi kuungana na matendo yanayofanywa na G55 sasa zaidi ya kubeza na kudhalilisha chama hadharani hivi.Wanasingizia mawazo mbadala huku wakikejeli viongozi waliopo, hii SI sawa hata kidogo.Hivi hakuna utaratibu rasmi ndani ya chama wa kuipeleka malalamiko Yao? Kwa Hali inayoendelea wanachama wawajibu rasmi kwa Nia zao ovu.Sasa ni wakati wa wanachadema wote kusimamia.Hatanmbowe ajitokeze rasmi.
Benson alipaswa kujiuzulu kitambo Sana, mke wake ni COVID 19Mtu mwenyewe salum tangu chadema amepooza alafu anaondoka nani ataangaika naye hata huyo benson hana ukubwa wowote
Kale kajumba nakataka niweke hapo gerejiWanataka kumtapeli Wakili msomi Hashim Rungwe chama chake cha Chaumma
Hawajui Bahari Motors ni mtoto wa town kitambo sana
Kuna wakati hata saa mbovu husoma muda sahihi😂😂😂Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.
Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Kama kilikuwa ni chama cha ''wachaga'', mbona kipo mikononi mwa ''watu wengine''? Hii ilikuwa ni propaganda ya kijinga kutoka CCM na sasa hivi inadhihirisha kuwa haikuwa ukweli.Wale ni Wachaga wanaumia kupokonywa Chama chao mana kilikuwa cha Kikabila
Uko sahihi kabisa kabisa. Mwaka 2020, Magufuli alimpa ahadi James Mbatia kuwa NCCR itapewa viti vya ubunge na akapewa escote ya polisi kila alikokuwa anatembelea. Mbatia akavimba kichwa akidhani ameula. Kufika wakati wa uchaguzi akapigwa chini. Wagombea wa ubunge wa CCM nao wanataka washinde kila jimbo. Si rahisi mtu yeyote akubali kuachia jimbo lake.Hawa ni gesi ya soda tu...
Hawa CCM wanaowafadhili kufanya uhuni wao huo kwa vijisenti hivyo, hawafiki popote...
Ni kwamba, wanawatumia kama kondomu Ili watimize malengo yao ya kisiasa na kisha watawabwaga kama uchafu kwenye jalala...
Peter Msigwa yuko wapi eti..?
Alikuwa hot kama moto wa kifuu lakini kidogo kidogo ameanza kwenda kunywa ulanzi kwenye mabanda umiza ya Ilula, Iringa..
Huyu jamaa mimi nilikuwa simsomi kabisa kabisa. Alikuwa anajaza nafsi tu na wala hana ushawishi wowote.Mtu mwenyewe salum tangu chadema amepooza alafu anaondoka nani ataangaika naye hata huyo benson hana ukubwa wowote
Sasa kabila gani watabaki huko chadema?Wale ni Wachaga wanaumia kupokonywa Chama chao mana kilikuwa cha Kikabila
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, baada ya Selasini kuondoka CHADEMA, ALIPOKELEWA VIZURI na James Mbatia pale NCCR. Lakini mwisho wa siku Mbatia chali. Mzee wa ubwabwa uwe wakini.Wanataka kumtapeli Wakili msomi Hashim Rungwe chama chake cha Chaumma
Hawajui Bahari Motors ni mtoto wa town kitambo sana
Kabisa mkuu. Unajua Malaria2 ni muislam safi. Ameona awaambie hao ukweli wao.Iwapo Malaria2 umeyatamka bora hao G55 washike majembe wakalime
Sijui walipeanaje nafasi hizo. Benson ni mtupu kabisa. Alipataje nafasi kama ya Heche kwa sasa ya makamu mwenyekiti?. Hajaacha alama yoyote.Mtu mwenyewe salum tangu chadema amepooza alafu anaondoka nani ataangaika naye hata huyo benson hana ukubwa wowote