G55 haifika mbali

G55 haifika mbali

Wajifie tu, walikuwa wanatuchezea akili tuamini ni upinzani kumbe hamna kitu.
 
Secretariet yao ilijaa RUSHWA na walijineemesha wao binafsi kwa pesa na maluku ya chama.
Huwezi kuniambia mtu ambaye mkewe alikuwa bungeni covid 19 kwa miaka 5 ati leo amefurahi lisu kushinda.
Wakati wa ucaguzi walikula pesa za wagombea ili wawapitishe kugombea. Mfano mrema alifanya kama mradi wake.
Watu wanajizima data sn
Ht hili hawalioni
 
Hata lyatonga mrema umaarufu wake uliishia NCCR.
Hata Zitto umaarufu wake uliishia CDM
Leo LIPUMBA siyo lolote pae CUF .Aliahidiwa pesa za kukiharibu chama akatapeliwa.

Kwa kweli Maalim Seif alikuwa ni Taasisi
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
G55 wamedanganywa wakajaa. Sasa jivi wanaficha sura zao maana kila mtu anawaona wasaliti japo ni haki yao ya kisiasa. Wrong timing
 
Back
Top Bottom