G55 haifika mbali

G55 haifika mbali

Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia Act wazalendo, maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka cuf, lkn G55 kila siku wanaishambulia chadema.
Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi
Haifiki mbali
Secretariet yao ilijaa RUSHWA na walijineemesha wao binafsi kwa pesa na maluku ya chama.
Huwezi kuniambia mtu ambaye mkewe alikuwa bungeni covid 19 kwa miaka 5 ati leo amefurahi lisu kushinda.
Wakati wa ucaguzi walikula pesa za wagombea ili wawapitishe kugombea. Mfano mrema alifanya kama mradi wake.
 
Sio kufika mbali imeshajifia kama CCJ yani aliewatanguliza kasoma upepo anasungusi na shughuli yao ndio inaishia hapo
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia Act wazalendo, maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka cuf, lkn G55 kila siku wanaishambulia chadema.
Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi
Haifiki mbali
Wale ni Wachaga wanaumia kupokonywa Chama chao mana kilikuwa cha Kikabila
 
Hao G55 wameruka maji wamekanyaga matope. Sioni kama wana mwisho mzuri kisiasa. Ni suala tu la muda kabla hawajapotea na kusahaulika kabisa.
 
Wanataka kumtapeli Wakili msomi Hashim Rungwe chama chake cha Chaumma

Hawajui Bahari Motors ni mtoto wa town kitambo sana
We jamaa una viashiria vya kuwa mtu mkweli, mana sio wa moto wala wa baridi, bali wewe ni wa vuguvugu, ila itakua bora ukidhihirisha upande wako mapema kabla hujavaa vazi la unafiki.
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Iwapo Malaria2 umeyatamka bora hao G55 washike majembe wakalime
 
Secretariet yao ilijaa RUSHWA na walijineemesha wao binafsi kwa pesa na maluku ya chama.
Huwezi kuniambia mtu ambaye mkewe alikuwa bungeni covid 19 kwa miaka 5 ati leo amefurahi lisu kushinda.
Wakati wa ucaguzi walikula pesa za wagombea ili wawapitishe kugombea. Mfano mrema alifanya kama mradi wake.
Kweli kabisa haiwezekani wake zao Covid19 wawe bungeni miaka 5 kisha wamfurahie Lissu aliesema kwamba ili warudi chadema hao covid 19 lazima wasema waliingia ingiaje bungeni. Ndiyo maana waume zao wanatoa vilio ya kubaguliwa, kutokusikilizwa na mengine yasiyoeleweka. Eti Lissu dikteta anafukuza kila mtu mwenye mawazo tofauti na yeye wakati huyo Lissu mwenyewe yupo Gerezani.
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Kwani tangu akina Ben Kigaila, Salum Mwalimu na Catherine Ruge kutaja wachache walipojiondoa jana wameishaongea chochote kuhusu Chadema? Tujuzane!
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Muda utatoa jibu....kwani wamesema wanahamia wapi ?
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Hawa ni gesi ya soda tu...

Hawa CCM wanaowafadhili kufanya uhuni wao huo kwa vijisenti hivyo, hawafiki popote...

Ni kwamba, wanawatumia kama kondomu Ili watimize malengo yao ya kisiasa na kisha watawabwaga kama uchafu kwenye jalala...

Peter Msigwa yuko wapi eti..?

Alikuwa hot kama moto wa kifuu lakini kidogo kidogo ameanza kwenda kunywa ulanzi kwenye mabanda umiza ya Ilula, Iringa..
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Wala wao hawaitaji kufika mbali wao wanataka walambe fedha za uchaguzi kila mtu akafe na chake kundi la wajanja wajanja watupu .wanataka kuwalaghai watanzania watazaia siyo mapoyoyo kama wanavyo dhani.Fedha nyie chukuweni kwasababu zipo nje nje mkisha zimaliza nyie rudini tujenge chama
 
Back
Top Bottom