Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,922
- 4,715
Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe
Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa kutoshiriki hata msiba unaomhusu Freman Mbowe na Injinia wa Mpango Huu ni Mchaga Godi Lema kwa madai wanataka kumwonyesha Mbowe hana tena mtaji wa watu hasa kuelekea uchaguzi Mkuu ambao Freeman anajianda kutangaza Nia Kuusaka Urais kupitia Chadema
Duru za Ndani zinadai mtifuano huo umefikia hatua Vijana wa Mbowe Maarufu kama (Scad) unaendeshwa kisayansi na Wenyeviti 3 Wa Kanda ya Kati ... , Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini na kuapa kupambana na Kundi la Akina Lema chini ya Usaidizi wa (Maria Saurungi)kwa gharama yeyote
Mtifuano utakolea soon huku Viongozi wa Chadema wakielekea kuitisha kikao cha dharura.
Mpira upo kwa Refa ... Refa mnamjua???