Fyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fyi

Discussion in 'International Forum' started by Outlier, Apr 16, 2009.

 1. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna concept ambayo huwa iko vichwani mwa watu wengi kuwa HIV ni tatizo la nchi maskini tu, hasa nchi za Afrika na Bara la Asia, eti marekani na Ulaya ni shwari.

  Kwa taarifa ni kwamba Marekani pia kuna tatizo kubwa la HIV. Reports za CDC zinaonyesha kuwa Washington DC maambukizi yako kwenye kiwango (prevalence) ya 3%, yaani watu 3 wameambukizwa kwa kila watu 100 (kiwango cha juu kuliko states zote marekani).

  Kwa kulinganisha tu nawaletea statistics za sehemu nyingine kama ifuatavyo;

  Burkina Faso 2.0%
  DRC 2.9%
  Tanzania 6.8%
  Kigoma 1.5%
  Kilimanjaro 2.2%
  Singida 2.8%
  Dar 10.2%

  Washington DC 3% (Cha kusikitisha lakini, zaidi ni kuwa among black men, prevalence ni 7.2%)

  Kwa hiyo jamani tuchukue tahadhari popote tulipo.
  Msi-Yo Yo (msiuze) sana timu bila kuvaa viatu, mtapigwa magoli kama Porto.

  Source mbalimbali, mojawapo hii CDC - NCHHSTP State Profiles
   
Loading...