Fyatu mfyatuzi na kutengua aliyetaka kunizidi Kete

Sasa doti zinaanza unganika
Majuzi tuliambiwa mkm hajulikani alipo
Leo ktmk kajiuzulu
Kesho sio mbali
 
Makonda kosa lake ni lipi wewe? Wivu ni mbaya sana, tena sana, acheni kijana afanye kazi, ni mbunifu na ana speed.
 
Nkwazi Mhango amenikumbusha mbali sanaaa, enzi zile za Mpayukaji wa Msemahovyo kwenye Tanzania Daima.

Karibu Tena Kwa namna ingine
 
Hawezi kumfyatua too soon ki hivyo coz mafyatu tuamwelewa kw sana!!

Huyu fyatu mwenzetu kavaa viatu vikamfaa vya yule alietangulia Kwa yule aliemuumba!!
Mafyatu tushafyatuka ukileta ufyatu tunakufyatua, kama mafyatu tunamuelewa sana, poleni walamba asali kuona buyu lageuka shubir.

Ngoma Inogile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…