labda hujanipata mkuu, hapa nazungumzia culture intermingling ambayo waarabu watai-face, mambo ya ushoga, uzinzi,uasherati ongeze na ulevini mambo huwa yapo sana kwenye michuano hii hata kama sipendi haya matendo wapo wanaopenda.Umeficha chuki zako tu kifuani huna lolote la maana. Kwako unaona uasherati, uzinzi na ushoga ni vitu vya maana sana. Hata huyo mungu wako atakuwa anakushangaa.
Eti waarabu hawana uwezo uwanjani..nyie timu yenu ipi imewahi kuwafunga waarabu wa Misri? Acheni chuki zisizo na maana.
Mkuu 2013 Hebu jizindue kidogo !! info. uitoayo ni false !! kwanza pokea ujumbe huu.... Afu akija mtembea uchi Basi viboko/bakora vipo tayari kuchapa!!View attachment 130295 waarabu kwa mara ya kwanza wanakuwa wenyeji wa michuano hii mikubwa duniani, thank god sisiwaafrika tulishawatangulia. kimsingi waarabu hawana uwezo sana uwanjani, mfano ni pale saudia waliponyukwa goli 8 na ujerumani kwenye michuano hii.waarabu kupitia mbinu mbalimbali wameweza kugombania kuandaa michuano ii mikubwa. sasa nimekua najiuliza itakuaje pale waarabu hawa wanaotaka michuano ya kombe la dunia ifanyike kwao wakati kuvaa kaptula kwa wanaume ni kinyume na maadili ya dini yao yaani ni sawa na kukaa uchi je watataka kila nchi wavae suruali, pia kuna tabia ya wazungu kutambua biashara za ushoga na umalaya kama biashara halali na kupelekea makundi haya kwenda kwaajili ya michuano, kama ilivyokuwa SA ambapo malaya walisafiri wakitokea ulaya, itakuaje kwenye taifa hili la waarabu? pia unywaji wa pombe na mambo mengine kama kuvaa ninjaz kwa wanawake wakati wote wa michuano ukichukulia mashabiki haawakibrazil wanapenda kuvaa chupi na brazia uwanjani, na ishu ya waarabu kukataza wanaume ma-handsome kungia uwanjani kucheki mechi kwa kigezo watawatamanisha wanawake za watu. sipati picha....mtoto akililia wembe mpe. :becky:View attachment 130296
yes , zaire or DRC wali-make history, na rekodi yao bado haijavunjwa, :confused2:Mkuu 2013 Hebu jizindue kidogo !! info. uitoayo ni false !! kwanza pokea ujumbe huu.... Afu akija mtembea uchi Basi viboko/bakora vipo tayari kuchapa!!
ispokuwa wewe 2013 tutakupa himaya na ulinzi bora !! Karibu sana uje to your second home !!
1974 (June 18) Yugoslavia 9-Zaire 0 (World Cup
Bravo Rijali wa 2013; Nakupendea optimistics zako Weka hope ya mazuri the Tanzania HT (LongLive) funga kazi...!!na wengi wajao inshaAllah, Ze Camerons Et'oo, Yahya Toure, nk Ze West Africans fleets !! tatizo ubinafsi kwetu hatunaga TEAM-WORK !yes , zaire or DRC wali-make history, na rekodi yao bado haijavunjwa, :confused2:
am not sure thats why huwa naombea tusijekushiriki kabisa kama hatujajiweka vizuri kwani tunaweza kuweka history kuliko hawa wa-congo. nowadays congo wana timu za ligi ambazo zimeweza kufanya vizuri ulimwenguni, kama tiipi mazembe na baadhi za basketball. japo sisi tuna machache yakujivunia pia, ...lets proud our home boy and NBA player hasheem thabit:clap2:
View attachment 130295 waarabu kwa mara ya kwanza wanakuwa wenyeji wa michuano hii mikubwa duniani, thank god sisiwaafrika tulishawatangulia. kimsingi waarabu hawana uwezo sana uwanjani, mfano ni pale saudia waliponyukwa goli 8 na ujerumani kwenye michuano hii.waarabu kupitia mbinu mbalimbali wameweza kugombania kuandaa michuano ii mikubwa. sasa nimekua najiuliza itakuaje pale waarabu hawa wanaotaka michuano ya kombe la dunia ifanyike kwao wakati kuvaa kaptula kwa wanaume ni kinyume na maadili ya dini yao yaani ni sawa na kukaa uchi je watataka kila nchi wavae suruali, pia kuna tabia ya wazungu kutambua biashara za ushoga na umalaya kama biashara halali na kupelekea makundi haya kwenda kwaajili ya michuano, kama ilivyokuwa SA ambapo malaya walisafiri wakitokea ulaya, itakuaje kwenye taifa hili la waarabu? pia unywaji wa pombe na mambo mengine kama kuvaa ninjaz kwa wanawake wakati wote wa michuano ukichukulia mashabiki haawakibrazil wanapenda kuvaa chupi na brazia uwanjani, na ishu ya waarabu kukataza wanaume ma-handsome kungia uwanjani kucheki mechi kwa kigezo watawatamanisha wanawake za watu. sipati picha....mtoto akililia wembeView attachment 130301View attachment 130302 mpe. :becky:View attachment 130296
much respect :sad:to you too mkuu😛oaBravo Rijali wa 2013; Nakupendea optimistics zako Weka hope ya mazuri the Tanzania HT (LongLive) funga kazi...!!na wengi wajao inshaAllah, Ze Camerons Et'oo, Yahya Toure, nk Ze West Africans fleets !! tatizo ubinafsi kwetu hatunaga TEAM-WORK !
Lakini tuachage wenye ujuzi waongoze na wenye Uwezo watekeleze " Tusipo weza kufanya, Tusiwazuie wenye uwezo kufanikisha "
With hight Respect to you and ofcoz I learn alot from your comments......much respect :sad:to you too mkuu😛oa
View attachment 130295 waarabu kwa mara ya kwanza wanakuwa wenyeji wa michuano hii mikubwa duniani, thank god sisiwaafrika tulishawatangulia. kimsingi waarabu hawana uwezo sana uwanjani, mfano ni pale saudia waliponyukwa goli 8 na ujerumani kwenye michuano hii.waarabu kupitia mbinu mbalimbali wameweza kugombania kuandaa michuano ii mikubwa. sasa nimekua najiuliza itakuaje pale waarabu hawa wanaotaka michuano ya kombe la dunia ifanyike kwao wakati kuvaa kaptula kwa wanaume ni kinyume na maadili ya dini yao yaani ni sawa na kukaa uchi je watataka kila nchi wavae suruali, pia kuna tabia ya wazungu kutambua biashara za ushoga na umalaya kama biashara halali na kupelekea makundi haya kwenda kwaajili ya michuano, kama ilivyokuwa SA ambapo malaya walisafiri wakitokea ulaya, itakuaje kwenye taifa hili la waarabu? pia unywaji wa pombe na mambo mengine kama kuvaa ninjaz kwa wanawake wakati wote wa michuano ukichukulia mashabiki haawakibrazil wanapenda kuvaa chupi na brazia uwanjani, na ishu ya waarabu kukataza wanaume ma-handsome kungia uwanjani kucheki mechi kwa kigezo watawatamanisha wanawake za watu. sipati picha....mtoto akililia wembeView attachment 130301View attachment 130302 mpe. :becky:View attachment 130296
me too, i like your comment because your not dogmatic when you assert comment but also you shows some respect for others people views no matter what . your integrity have made me feel comfortable to share some views with you in a much more respective way.With hight Respect to you and ofcoz I learn alot from your comments......
God Bless you and others in this small world.
mkuu labda ninyooshe hapa. kila nchi inazo taratibu na sheria imeziweka na zinapokiukwa inapelekea adhabu, naimani qatar wanazo pia pengine zinahusika pia utaratibu wa mahusiano kati ya wanawake na waanaume, unywaji pombe, maadili katika kuvaa, na tamaduni zinazokubalika katika jamii. Na kuingia kwa wageni ni kiashiria kuwa utamaduni wa kimagharibi unatofauti kubwa na sheria za nchi hii mwenyeji.pia pengine baadhi ya sheria zao zinatokana na dini kuu katika nchi.Unamaanisha uislam? Sio dini ya waarabu.
.hashycool usisahau katika kikapu cha matunda hukosi tunda liloOzaa!! Good luck hashy...! stay coolhivi duniani kuna mtu mchafu zaidi ya muarabu?
asante kwa kunijuza uwanja unaitwa Al wakrah(nick name: Alwakra vagina stadium), i don't know may be macho ya watu tu ndio yanapelekea kuliona jengo kwa muundo huo.Alieanzisha hii thread hajafanya utafiti wa kutosha...hivi wafahamu kuwa Qatar wanajenga uwanja wa kwanza wenye umbo la tupu ya mwanamke?(fanya ku google utaona) Hio nchi ina uozo uliopindukia...haina haja kutaja yote. Uislamu na nchi ya uarabuni ni tofauti kabisa
Wanyumbani Most wellcom 24/7 ofcozi if we can't share this love here, How can we love the Almight God...me too, i like your comment because your not dogmatic when you assert comment but also you shows some respect for others people views no matter what . your integrity have made me feel comfortable to share some views with you in a much more respective way.
Your Gratitude means very much to me.... Bcoz kuna usemi Asiye shukuru watu, Hata Mungu hawezi mshukuru !! Shukran frendi..oh yessss, Am appreciate so much