Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 745
- 1,348
Utapataipata fresh yako
Msomi hawezi kuwa zuzu huyo atakua na matatizo binafsinyie wasomi njaa mnakuwaga na uzuzu flani wa ajabu
Shule zimefungwa ukiona hivyoDaah??tumewakimbia fb mmetufata na huki
Hahahahaha... Akiwa Mjanja Afute Kabla watu hawajaquote.Karibu JF kijana..utazoea tu..iko siku utajutia hiki ulichofanya..