Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

hatuombi vibaya! / namuhurumia kinana

wamempa kazi ngumu kweli/

kinana mwenyewe yuko team lowasa...sema lini ulishawahi kumsikia kinana akimkoromea au hata kumkosoa rais lowasa wakati akiwa ccm?....

Pia jk mwenyewe alitambulishwa kama kampen manager wa el huko pwani na hajawahi kukanusha...

Hongera jk kwa mpango mkakati wa kuing'oa ccm madarakani na kuwarudishia wananchi tanganyika yetu.
 

ama kwa hakika wewe ni mfuatiliaji kuntu
 
Siasa jamani, Zito alipohamia ACT mengi yalizungumzwa. lowasa kahamia chadema mengi yanasemwa. Uhalisia upo, tusubiri tutashuhudia wenyewe.
 
Semeni yote lakini Lowasa ndio hivo tena. Hata usipompenda ndio anaweza kuwa mgombea. sipati picha mapambano kati ya rivals hao Magufuli na Ngoyai
 

hahaha.....kushakucha shuka halina umuhimu saaaana
 
Siasa jamani, Zito alipohamia ACT mengi yalizungumzwa. lowasa kahamia chadema mengi yanasemwa. Uhalisia upo, tusubiri tutashuhudia wenyewe.

zito na lowasa ni watu wawili tofauti
 

1. Kwani kazi ya wapinzani ni kuleta maendeleo? sasa chama tawala na serikali yake wao watafanya nini?
2. WanaCDM ndiyo wamemwalika Lowasa, wewe mbona unaumia wakati wewe CCM? Au jana hukuona votes za JF?
 

chadema wako sahihi kaka. huyu ameitwa fisadi mda mrefu sasa ni muda mzuri wa ccm kuonyesha ufisadi wake kwa kumkamata.
 
1. Kwani kazi ya wapinzani ni kuleta maendeleo? Sasa chama tawala na serikali yake wao watafanya nini?
2. Wanacdm ndiyo wamemwalika lowasa, wewe mbona unaumia wakati wewe ccm? Au jana hukuona votes za jf?

uchu wa madaraka ndo umempeleka huko chadema. Chadema ni chama makini hawawez kumfuata bali kajipeleka na sio kwa wamachama wote bali amemtumia mbowe ambaye ni rahisi kununulika
 

We call it democracy. Basicaly,ni haki ya msingi kabisa mtu kujiunga na chama chochote cha siasa. Sidhani kama Mwenyekiti wa chama anaelekezwa na katiba ya chama kuwa uamuzi wa kupokea wanachama/mwanachama unahitaji ridhaa ya wanachama (party approval).
 
CCM kama KANU vile ndiyo bye bye forever! hahaaaaaaaaaa!!!:wave:
 

tunachotaka ni chadema kuonesha utakatifu wa EL na sio vinginevyo. Kama hawatafanya hivyo nitaendelea kuwaita wanafiki
 
Ni nzuri sana maana makundi yaliyokuwa yananua uongozi kwa pesa hayatakuwepo tena baada ya mmamvi kuondoka. Bright future blinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…