Futuhi mko juu aisee

Futuhi mko juu aisee

Asante. Angalia ze comedy, na original komedi na hata komedi za Kenya na kwingineko. Acheni kujichekesha wenyewe.[/QUOTE Mimi binafsi nilishaacha kuangalia Original comedy mda mrefu sana, na hata sijui hicho kipindi kinarushwa muda gani,Kwangu Ni bora Furuhi(star TV),Mizengwe(ITV) na Vituko show( channel ten)
 
best comedy kwangu ni mazagazaga hao futuhi kwakweli hapana
 
Futuhi ambae bado anawabeba ni brother K na Sharobaro wa kihaya wengine wote ni wa hivyo tu
 
..hujapata mbadala ndo maana unawaona wako juu, wazoefu wa comedy tunawaona bado sana...
 
Ni wakati wako wa kufurahia, mara ya mwisho kuwaangalia hawa jamaa sikumbuki hata ni lini
Hasa! Hata mimi muda mrefu sijashawishika kuwatezama tangu kipindi kile kwenye episode zao ni kufukuzana, kukatana mtama na kupigana. Comedy ya kitoto sana.
Mtu akiniambia futuhi inamchekesha namjibu hivi: hata ukisikia mtu anacheua utacheka!
 
Back
Top Bottom