FUTUHI CUP

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
1,851
Reaction score
2,771
Nilikuwa nafuatilia ratiba ya futuhi Leo Chelsea wanakutana na Thesalonike FC[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Halafu unaweza kukuta mleta mada ni mtu na ndevu zake!!!
Na mke na watoto juu
Jinga sana itakua ww ndo man city wabovuuu
Mapovu ya nini wakati ni kweli.

Wazee wa mchangani. Mnapisha kwanza kaka zenu wacheze ndio nyie mhangaike.

Mnaenda kucheza na vitimu vya wakulima huko mashambani. Unapanda ndege mbili, unaunganisha treni, unapanda basi, ukishuka unapanda farasi ndio ufike kiwanja cha nyumbani cha hiyo team ya wakulima [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aiseee watakuteka hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…