Futari ya Kinyakyusa

umenikumbusha mbali sana wakati nasoma mbeya kwa wanyakyusa nilienjoy sana ni watu wazuri na vyakula vyao ni vizuri.
 
nayapenda sana hasa ya mahindi mabich +maharange mabichi yaweke na karoti na hoho
 
Kaka buji acha kutuuzia gahawa mchana mchana wa jua kali,huyo jamaa yuko zake machungani mida ya saa 4:27 asubuhi,nimemuona yule ng'ombe kwa mbali.
 
Huyo ndugu akipumua hiyo harufu yake...utadhani ameacha samadi kwenye chupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…