Futari ya Bond Street London

Rekebisha heading yako. Bond Street iko Central London na central London HAKUNA trams rail kama picha yako inavyoonyesha....
 

Safi sana japo hamchelewi Boooooom
 

always wazungu wanataka kujaribu jaribu tu
 
FaizaFoxy

Mungu atulinde na Macho ya mahasidi.
Amiiin

Amiiin, si unawaona humu wanavyo haha?

Mwenyeezi atawapa macho ya kuuona, masikio ya kuusikia na ubongo wa kuujuwa ukweli.

Ndugu yangu Mwenyeezi Mungu akimwandikia mtu kuwa ka.fir basi hata ufanye nini habadiliki, Abi Lahab ilishushwa aya ya Qur'an miaka 10 kabla hajafa, nae ni ammi yake mtume Muhammad Salla 'Llahu Alayhi Wasalaam kuwa huyo ni mtu wa motoni tu wala hakuna atakae muombea akafanikiwa, na kweli, kafa na yeye Ka.fir na akiuchukia Uislam mpaka kufa kwake.
 


3 milion people worshiping ALLAH in Eid pray (Africa adisababa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…