Futari ya Bond Street London

Naona Watakatifu wanaenjoy katika nchi ya makafir kwa Cameroon teh teh teh!
wakristo wanaheshimu uwepo wa wengine, live and let live is our slogan.
Hao ndo makafiri bwana, very social
 
huu ni unafiki wa hali ya juu!! kila siku mnawalaani kwa kuhalalisha ushoga[their way of life FYI] na 'kuua' ndugu zenu waislamu iraq,libya,afghanstan etc.....leo mnachekelea wanawafuturisha!!!!
 
Naona Watakatifu wanaenjoy katika nchi ya makafir kwa Cameroon teh teh teh!
wakristo wanaheshimu uwepo wa wengine, live and let live is our slogan.
Hao ndo makafiri bwana, very social

hapa wanachekelea ku-practice dini yao kwa makafir lakini huko kwao hata kuvaa nguo uitakayo utapigwa mawe hadharani!!!
 
Lazma ulitengeneza bomu mana hiyo mix yako ilikua hatari breki zilifeli kwa lazma
 
Mi nakumbuka siku za iddi majirani tulikuwa tunaletewa ka 'hotipoti'
 
= rafiki
= kuroweka
= nikarudisha
= niliharibu
= kweli
= habari
 
Jamiiforums burudani sana, yaani topics kama hizi utakuta watu wengi tena wengine huwa wanachangia topics nyingine vizuri tu, lakini kwenye hizi topics za imani na dini wote wanajitoa ufahamu na kujifanya wendawazimu. Wanarusha matusi huku na kule.
 
Watu kama hao ujuwe wana maradhi ndani ya mioyo yao na huzidishiwa hayo maradhi kila kukicha.
 
Kuna ndugu zangu wapo London, wanasema kitendo kilileta Nuru ya ajabu na wasio Waislam wengi sana iliwaingia hiyo Nuru na kusilimu hapo hapo.

Duuu sasa huu uwongo kula tu mtu asilimu labda chakula kiliwekwa limbwata.
 
Watu kama hao ujuwe wana maradhi ndani ya mioyo yao na huzidishiwa hayo maradhi kila kukicha.

Basi wewe utakuwa ICU. Maana wewe pia ni kinara wa kejeli kwetu sisi makafiri.Naona ndugu zetu katika imani wanakula futari kwa amani kabisa kwa ------ Mkuu Cameroon
 
hapa wanachekelea ku-practice dini yao kwa makafir lakini huko kwao hata kuvaa nguo uitakayo utapigwa mawe hadharani!!!

Ndo hivo ndugu yangu.Kaka yangu aliwahi kusoma na hawa viumbe kwenye shule yao, alichokipitia kilinishangaza.Hata kukaa nae tu karibu wakati mwingine mtu anakunyanyapaa kisa -----
 
nuru ililetwa na chakula cha bure,ofcourse mateja walisilimu ili wale bure kila siku na pesa za welfare wakanunulie madawa

Umeona picha hizo lakini? na umesoma kilichoandikwa? au imekuuma?
 
hapa wanachekelea ku-practice dini yao kwa makafir lakini huko kwao hata kuvaa nguo uitakayo utapigwa mawe hadharani!!!

Wacha uongo, leta ushahidi.

Au kutembea karibia uchi ndiyo unaongelea "nguo uitakayo"? imani yako ilikufundisha hivyo? maana dini ni kwa Mwenyeezi Mungu ni moja tu, kujisalimisha kwake, aka Uislam, nje ya hapo hauna dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…