Futari guru

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,929
Mipango ya mpango kapangiwa mpango ama mpango ndio kapanga mipango ya kupangwa?
Majaliwa ya majaliwa, ni kujaaliwa wasiojaliwa ama watakaojaliwa?

Mpango ni Majaliwa? Inawezekana kabisa mpango ukawa majaliwa lakini je Majaliwa anaweza kuwa Mpango? Sidhani! Atakuwa nani sasa
Hivi nini huanza Majaliwa kisha Mpango ama mpango kisha majaliwa?

Unaweza usiamini lakini majina huumba..
Hii sio sukari guru.. Hii ni futari guru.. Ukiona mchezaji nje ya ulingo anapasha moto viungo basi tambua kocha anataka kufanya sub!
Na baridi hii na kimvua hiki kama huna kumbatio utaishia kusimamisha mlingoti kisha uugue ngirimaji

Naelekea Loliondo Mnada wa mbuzi, leo bei itakuwa rafiki sana.. Kwanza mwezi umepiga kona kisha mvua imeleta utelezi Shangwe kwa mnunuzi fadhaa kwa muuzaji
Ni futari guru..
 
Futari guru
FB_IMG_1681537383683.jpg
 
Hii suo sukari guru.. Hii ni futari guru.. Ukiona mchezaji nje ya ulingo anapasha moto viungo basi tambua kocha anataka kufanya sub!
Na baridi hii na kimvua hiki kama huna kumbatio utaishia kusimamisha mlingoti kisha uugue ngirimaji

Naelekea Loliondo Mnada wa mbuzi, leo bei itakuwa rafiki sana.. Kwanza mwezi umepiga kona kisha mvua imeleta utelezi Shangwe kwa mnunuzi fadhaa kwa muuzaji
Ni futari guru..
Majaliwa hawezi kuwa mpango maana anamakando kando mengi kuliko mpango ,mpango dini itambeb kuleta suluhu maana baada ya wavaa kobazi ni zamu ya wala kitimoto na pia majaliwa atakuwa amekula miaka 10 huku mpango mipango yake ikiwa ina miaka mitano tu .

Huko kwenye mnada nitakuja baada ya Eid kwa sasa bado hao wanyama wako juu sana

USSR
 
Mipango ya mpango kapangiwa mpango ama mpango ndio kapanga mipango ya kupangwa?
Majaliwa ya majaliwa, ni kujaaliwa wasiojaliwa ama watakaojaliwa?

Mpango ni Majaliwa? Inawezekana kabisa mpango ukawa majaliwa lakini je Majaliwa anaweza kuwa Mpango? Sidhani! Atakuwa nani sasa
Hivi nini huanza Majaliwa kisha Mpango ama mpango kisha majaliwa?

Unaweza usiamini lakini majina huumba..
Hii sio sukari guru.. Hii ni futari guru.. Ukiona mchezaji nje ya ulingo anapasha moto viungo basi tambua kocha anataka kufanya sub!
Na baridi hii na kimvua hiki kama huna kumbatio utaishia kusimamisha mlingoti kisha uugue ngirimaji

Naelekea Loliondo Mnada wa mbuzi, leo bei itakuwa rafiki sana.. Kwanza mwezi umepiga kona kisha mvua imeleta utelezi Shangwe kwa mnunuzi fadhaa kwa muuzaji
Ni futari guru..
Vipi ndugu Mshana,umeshapanda kilingeni?Au naota🤔
 
Majaliwa hawezi kuwa mpango maana anamakando kando mengi kuliko mpango ,mpango dini itambeb kuleta suluhu maana baada ya wavaa kobazi ni zamu ya wala kitimoto na pia majaliwa atakuwa amekula miaka 10 huku mpango mipango yake ikiwa ina miaka mitano tu .

Huko kwenye mnada nitakuja baada ya Eid kwa sasa bado hao wanyama wako juu sana

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenye mnada nitakuja baada ya Eid kwa sasa bado hao wanyama wako juu sana

USSR

Nitakula kwa niaba
 
Punguza tui utie Michele, mengine yakupitage basi.....kila Ngoma ipigwayo umo, hupitwi? Huachiii!
 
Mipango ya mpango kapangiwa mpango ama mpango ndio kapanga mipango ya kupangwa?
Majaliwa ya majaliwa, ni kujaaliwa wasiojaliwa ama watakaojaliwa...
Mbona Suluhu kasuluhisha mpango wa maridhiano kwa majaliwa yake rabbana.🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom