Eternally to be
Member
- Oct 30, 2021
- 54
- 58
Mnaotumia iphone mnajionaga mmeyapatia kweli!!.Hizi simu ndio mlikua manalinganisha na Iphone[emoji28][emoji706]
Mkuu Google pixel zina matatizo mengi mnooMnaotumia iphone mnajionaga mmeyapatia kweli!!.
Iphone amewa win kupitia saikolojia tu kwa kuwaaminisha ni simu zenye ulinzi na uimara wakati huohuo msijue ndio simu ambazo haziwapi uhuru wakutosha na bila kujua zinawadukua mnalambwa mipicha watakavyo!..
All in all jamaa ni wafanya biashara na wamewin kwa kujionyesha wao ni watofauti nakuwahadaa baadhi yenu..[emoji28]
Hapana sema mnanunua refurbished ndio tatizo hata iphone ukinunua ya hivyo haswa kwenu network inazingua.Mkuu Google pixel zina matatizo mengi mnoo
Wanalika kimasikhara sana. IPhone imejibrand sana kwa wapenda sifa.Mnaotumia iphone mnajionaga mmeyapatia kweli!!.
Iphone amewa win kupitia saikolojia tu kwa kuwaaminisha ni simu zenye ulinzi na uimara wakati huohuo msijue ndio simu ambazo haziwapi uhuru wakutosha na bila kujua zinawadukua mnalambwa mipicha watakavyo!..
All in all jamaa ni wafanya biashara na wamewin kwa kujionyesha wao ni watofauti nakuwahadaa baadhi yenu..😅
Nikikumbuka mashoga wanavyosema na kusifia iphone " if you are gay you have to have iphone" ...nachoka nabaki tu hukuhuku Kwa wawei aaah Huawei...Hizi simu ndio mlikua manalinganisha na Iphone[emoji28][emoji706]