Fuso za CDM Kwenye foleni Ubungo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fuso za CDM Kwenye foleni Ubungo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Giddy Mangi, May 5, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Fuso na vitendeakazi vya Chama chetu CDM kwenye foleni Ubungo tayari kwa safari ya Mbeya Peoples Power/NGUVU YA UMMA.
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Picha ipo wapi?

  Ndio hayo magari machakavu mlionunua kwa Mbowe na pesa za walipa kodi?

  Ndugu zangu Chadema plz practice what you preach, kama mnataka mjiepushe na ufisadi mfuate kanuni za manunuzi zipo wazi!
   
 3. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole kwa kuumwa!! sikujua kuwa wagonjwa ni wengi, wahi kwa mchungaji loliondo.
   
 4. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nijuavyo Fuso ni gari za mizigo. Maisha yana thamani kubwa sana na hayanunuliwi yakipotea. Wahurumieni watanzania.
   
 5. h

  hoyce JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Hiyo ni sheria ya manunuzi ya umma.chama hakilazimiki kuifuata
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Aaaaaaaaah sasa na chama si cha UMMA... au zile habari kuwa ni NGO ya kina MTEI kweli??
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  RPC Mbeya, CDM ndio kama hivi tunagonga vina tunakuja kwa hasira huko tuonane uso kwa uso na hayo madai ya inteligensia yako.

   
 8. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pole sana kwanza hope hilo siyo jina lako,pili nadhani wewe ni mmoja wa vibaraka wa Lowassa Jakaya na Rostam count down brother we are cumin there.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwani Mbeya hakuna waandamanaji hadi watoke Dar? Au hizo fuso zinabeba viongozi wa chama?
   
 10. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Fuso zina P.A System na Majukwaa means CDM WAMEJIPANGA MUSIC SYSTEM COMPLETE FUSO 3 HOPE ZINATOSHA SANA
   
 11. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CDM hatuzoi watu kama Jakaya na Ccm yake bwana hiki chama cha watu bwana siyo chama cha wachache wenye nazo.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  kwa nini usitumie japo sekunde kujifikilia kabla haujapost utumbo huu, umesoma vizuri alichoandika muanzishaji wa thread hii? Au unadhani chadema inaweza kufanya ushetani kama wa ccm kusafirisha watu kwenye malori?

  CCm2010.jpg
   
 13. M

  Makupa JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mbona mnapewa ruzuku serikalini hamjui kwamba hiyo ruzuku ni kodi ya watanzania
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nyie naona mna njaa sana,nawaletea chakula!
  Dawa ya crap na umbea ni kupata msosi mtaaaaam,i will be back
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,446
  Trophy Points: 280
  ya back?
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  umerudi mkuu? Afadhali manake kuna watu wamemisi misosi, wanatuletea mambo za ajab tu hapa. Lete msosi wakule akili zikae sawa.
   
 17. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Je nini impact ya watu wa Mbeya kesho asubuhi watakapokutana na Fuso tatu branded CDM,bendera na pia Music system na nyimbo za Ukombozi?
   
 18. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tupe ushahidi tuwabadirikie
   
 19. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Uliwahi kujiuliza ruzuku ya CCM imetumikaje? Pia nayo ni kodi ya wananchi
   
 20. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Karibuni, na safari njema
   
Loading...