Wapendwa wanaJF,
Nina Biashara ya Kufyatua Tofali hapa Goba Tegeta-A along Njia Nne/Madale Road. Niahitaji Lorry Fuso tani 4?/4.5 kwaajili ya kubeba mchanga, kwa makubaliano ya hesabu ya siku.
Fuso hilo Liwe na sifa zifuatazo:
1. Liwe zima.
-Engine haisumbui
-Gear box haisumbui
-Diff haisumbui
-Body Zima
Kwa ufupi liwe lorry unaloweza kupiga nalo kazi wiki mzima bila ya kuleta shida
2. Liwe halidaiwi na TRA
3. Liwe na EFD MACHINE au liwe na vibali vya kuweza kuomba EFD MACHINE mfano:
-Tin ya gari
-Leseni ya biashara
- Kitambulisho cha Taifa (National ID) ya mmiliki.
Tuwasiliane 0743936355