ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
Ngoja nishangae tu.mkuu miaka 20 ijayo??? Omba mungu labda graphene isifae ila kila kitu duniani kitachange. Kwa graphene core moja tu yenye speed ya 500ghz inaieka hio pc into shame
Ingelikuwa vyema ungetaja desktop ambayo ina specs zilizo ni fasta kuliko hii (usije ukaleta mainframe computer au concept) kuliko tu kusema "fani za watu", kwa hiyo tubasubri hiyo yenye individual kasi zaidi ya 4.6 Ghz, RAM 48 na HD zaidi ya 21 TB halafu iko dukani inauzwa.Keyser Söze;6032737 said:Wewe umeingilia fani za watu kweli kweli!Eti in speed ya 55.2 Ghz! speed ya computer siyo product ya number of cores na speed ya individual core! Fanya research kabla ya kupoteza watu. And for the record hiyo computer haipo hata kwenye top 10,na ukitaka kujua sifa ya kitu usiende kwenye site ya kampuni waliotengeneza coz wao lazima wasifie kitu chao kwamba it is the fastest
mkuu miaka 20 ijayo??? Omba mungu labda graphene isifae ila kila kitu duniani kitachange. Kwa graphene core moja tu yenye speed ya 500ghz inaieka hio pc into shame
Wachumi wanapotqbiri future wana kyu wanaita CETERIS PETIBUS, halafu hii inajibu hoja yako
http://m.extremetech.com/extremetec...very-long-way-from,50ce8d3594f4be716930b738/4
Keyser Söze;6032985 said:click hyo top 10 ni link utaziona,
mkuu hebu tupe na source naona mada imekua nzuri sasa nimejaribu kuigoogle processor hio sjapata hata 1
Keyser Söze;6034353 said:And if you are about to say whar is the most powerful pc around now,then it got to be this beast
Now I am not an Apple fan, never have been and never will. In fact I do not own a single Apple product.
Lakini.
Mtu yeyote anayesema kompyuta iliyopo sasa haiwezi kupitwa labda 2020 hafahamu trends za computing na Moore's Law and it's remnants inavyofanya computing isiwe that easily predictable.
Why, by 2020 people are focusing on targets of a paradigm shift, say quantum computing, that will make the entire concept of RAM as presented here just about medieval!