Fursa za kusoma nje zipo ila sioni watanzania tukizichangamkia

Nimeona vyuo vingi ulaya vikitoa nafasi kwa international students kujiunga na kusoma bure.

Kinachonishangaza Ni kutokuona Watanzania tukizichangamkia hizi fursa,

kazi yetu Ni:-

1.kuota utajiri tukiwa vitandani kwa ndugu mijini
2. Kutumia 3/4 ya siku nzima kuongelea "mbususu" na kuwaongelea kina " Jack chacha" wa Kona baa.

3. Kuwapinga wanaoonekana kuleta maada za maendeleo + mafanikio.

4. Kutumia social media kuwasema vibaya kina CCM na kina CHADEMA huku tukisahau hawaleti pesa mifukoni mwetu ( hapa Ni mmoja wao)

5. Kutembeza bahasha za kaki maofisini ( hapa pia nipo).

Graduates tuchangamke , twendeni nje tukajilipue Kama Nigerians.

Tukumbuke maisha yakigoma nyumbani tujaribu na kwingine.

Nimejitoa kwenye chama Cha watembeza bahasha maofisini
Naenda Norway tuombeane.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni vyeti vya IELTS na kupata passport mkuu
 
Sisi hatutaki kwenda kwa Mabeberu jaman? Ndo sera ya nchi yetu! Kwani wewe wataka kuwa beberu?
 
Waafrika wanapenda sana habari za brain drain. Unafikiri mzungu anatoaga kitu bure tu bila sababu za msingi. Unafikiri brain drain inaisaidia Africa?
Brain drain ni njia moja ya kuwapata watumwa( intelligence slavery ) ili wakutumie akili wanufaike halafu wewe ujidai "nipo ulaya"! Kumbe upo utumwani.
Kwa nini wazungu hawachukui marginaluzed student wenye uwezo wa chini kitaaluma ili wakawasaidie ?
Wanachukua cream na kuacha makapi Africa yaendeleze maendeleo.
Narudia tena watu wengi waliosoma ulaya hawajawahi isaidia Africa kwa lolote zaidi ya wizi na ukibaraka vinginavyo tungeshaunda ndege, magari, silaha .
Nendeni mkawe watumwa wa wazungu.
 
Una point mkuu

Ha ha haaa, Mkuu punguza hasira. Usiwakatishe moyo vijana wenzetu. Acha watoke nje kupata exposure. Mabadiliko ni suala la muda mrefu.
 
Nimeona vyuo vingi ulaya vikitoa nafasi kwa international students kujiunga na kusoma bure.

Kinachonishangaza Ni kutokuona Watanzania tukizichangamkia hizi fursa,

kazi yetu Ni:-

1.kuota utajiri tukiwa vitandani kwa ndugu mijini
2. Kutumia 3/4 ya siku nzima kuongelea "mbususu" na kuwaongelea kina " Jack chacha" wa Kona baa.

3. Kuwapinga wanaoonekana kuleta maada za maendeleo + mafanikio.

4. Kutumia social media kuwasema vibaya kina CCM na kina CHADEMA huku tukisahau hawaleti pesa mifukoni mwetu ( hapa Ni mmoja wao)

5. Kutembeza bahasha za kaki maofisini ( hapa pia nipo).

Graduates tuchangamke , twendeni nje tukajilipue Kama Nigerians.

Tukumbuke maisha yakigoma nyumbani tujaribu na kwingine.

Nimejitoa kwenye chama Cha watembeza bahasha maofisini
Naenda Norway tuombeane.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Niunganishe mimi na hizo fursa nazihitaji...
 
Waafrika wanapenda sana habari za brain drain. Unafikiri mzungu anatoaga kitu bure tu bila sababu za msingi. Unafikiri brain drain inaisaidia Africa?
Brain drain ni njia moja ya kuwapata watumwa( intelligence slavery ) ili wakutumie akili wanufaike halafu wewe ujidai "nipo ulaya"! Kumbe upo utumwani.
Kwa nini wazungu hawachukui marginaluzed student wenye uwezo wa chini kitaaluma ili wakawasaidie ?
Wanachukua cream na kuacha makapi Africa yaendeleze maendeleo.
Narudia tena watu wengi waliosoma ulaya hawajawahi isaidia Africa kwa lolote zaidi ya wizi na ukibaraka vinginavyo tungeshaunda ndege, magari, silaha .
Nendeni mkawe watumwa wa wazungu.
Mkuu upo karne ya ngapi...? Unaishi kwenye mapango?

Nenda znz ukaone wamasai wanavyobonga ki russia na wazungu nenda china ukaone wachina wanaojifunza kiswahili , nenda ujerumani uone watu wanaotoka huko kwenda U.S vijijini huko kufanya kazi na biashara!

Dunia ya sasa muingiliano ni mkubwa sana ...
utake usitake mabadiliko ni lazima!!!

Acha kujifeel inferior, epuka hiyo mentality yako ya miaka nenda rudi kuhusu utumwa.. !
 
Back
Top Bottom