Mr Masindi
Member
- Aug 17, 2019
- 51
- 47
Wakuu habari zenu.... Nasikia sikia kwa watu kuwa kakola pana migodi ya wachimbaji wadogo, mwenye kupajua naomba anijuze, nikiwa na milion 1.5, naweza kuwekeza kwenye biashara ipi tofauti na uchimbaji na biashara ya dhahabu?
Kwa sasa napatikana Manyovu kigoma huku. Nmeomba kupata idea kabla sjaamua kuanza safafi.
Kwa sasa napatikana Manyovu kigoma huku. Nmeomba kupata idea kabla sjaamua kuanza safafi.