Fursa za JF...

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
2,280
Reaction score
1,366
binafsi nimeziona na kuzitumia baadhi..na zingine nitazitumia
najua hata wewe pia umeziona na umezitumia
hebu niwekee chache....TWENZETUuu
 
khaaaaa.......... Bishanga uje huku useme fursa yako!!!
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza tamko la umoja wa ma-human resource manager kuhusu jamii forums ilivyochangia fursa za ufanisi wa utendaji kazi maofisini linasemaje?
 
kuuiba muda wa mwajiri wangu ipasavyo wakati yeye ananiona kwenye kamera nachapa kazi
 
nimekuachia ujinafasi nae bibie maana kipindi kile roho ilikutoka loo
mwemwemwemwem yuuule simtaki hata kwa dawa shost angu ni wako we mbwage popote sio kwangu
 
Unataka nikwambie ili mchukue idea zangu na bado zipo nyingi naendelea kupanua wigo wa kupata fulsa!

Weka geji tuone inalalia wapi!
ha ha ha ha ha ha ha ha ha pole sana unaweza ukajiona hotcake kumbe utumbo wa mbuzi.
halafu kwa kukumbushia hujajibu swali bado manoah namba mbili ni huyu hapa hajui matumizi ya l na r maandishi mabaya kama nini
na usijitete ni typing error huo ni uandishi mbovu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…