Fursa za biashara ifakara ni zipi? Mimi mmakonde ninaplani kuhamia kule

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Kama kichwa cha Habari kinavyojionesha ubaoni Nina mpango wa kuhamia mkoa morogoro - ifakara mjini ningeomba mwenye uzoefu kule anijuze lengo nikafanye biashara ndogondogo Nina mtaji wa mil 1,. Asanteni wakuu. Vipi makazi vyumba Bei gani na Hali ya garama za maisha kule
 
Nakutakia kila la kheri
Kilimo, lazima kitalipa
 
Back
Top Bottom