Fursa ya usafiri kwenda mjini

Fursa ya usafiri kwenda mjini

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
372
Reaction score
372
Je wewe unafanya kazi posta?? Je unahitaji dereva wa bodaboda wa kukupeleka posta asubuhi kuondokana na kero ya foleni??? Karibu tusaidiane...

Kama kijana nimemAliza chuo nimeamua kujiajiri Kwenye kazi ya udereva wa bodaboda kwani nina uzoefu na kuendesha bodaboda ..

Wakeza kwangu we unayepata tabu ya usafiri...tufanye kazi pamoja.

Ninatafuta mdhamini ambaye ataninunulia tvs 125cc pikipiki mpya the (tsh 2050000)
Kwa masharti ya yeye kupata oya kupelekwa mjini bure kila siku asubuhi Huku nikiendelea kumlipa kila siku kwa mkataba mpka namaliza Malipo yote.
Malengo yangu ni kabla ya mwezi wa tatu kuisha niwe nimemaliza hilo deni la huyo bosi atakayejitokeza.
.

Ninadhaminika kwani nina Mali zinazoweza kutumika kama dhamana.

Naomba kuwasiliana.
 
Back
Top Bottom