Fursa ya ujinga na matrix katika mfumo wa maisha ya kisasa

sasa hapo unaongelea wealth inequqlity, mambo ya kisiasa zaidi

lakini mimi naheshimu sana mifumo kama shule, mahakama, bima nk, inahitaji maboresho tu
Shule bora ni zile zenye gharama kubwa, hapo mmiliki ndiyo hunufaika kwa kipato.

Mahakama ni chombo cha haki, lakini kwa dunia ya sasa imekuwa chombo cha rushwa na kudhulumu haki.

Bima ndyo balaa kabisa, wamiliki hukusanya pesa nyingi mno kulinganisha na huduma wanazo gharamia.
 
lakini bado, kuishi karne ya 21 ni bora sana kuliko tuseme, kuishi nyakati za bibilia
 
Hadi upate hiyo fursa ya kutumia ujinga wa watu ili upate hela,utakuwa na 45+ badaye hilo wazo nalo utaona ni ujinga.
Now am 22yrs, still bado nina muda wa kutekeleza wazo langu before hata sijafika 30yrs.
 
Mkuu unaweza kabisa ila sio kwa nchi ya tz utachelewa mno, wewe una akili kama ya kijana wangu
 
Back
Top Bottom