Fursa ya mahusiano.

Bad combination warusi+waafrika...NO NO NO..wanataka watu wakula nao gud tym tu wakiwa hapo bongo naona wagegedueee weee..Lakini wakirudi kwao russia wanaenda kwa warusi wenzao walivyo wabaguzi..kudadekiiiii!!!!
 

Ukienda JOLLY,Q-BAR utapata wengi sana bila usumbufu.....wanawinda hio opportunty miaka na miaka......
 
Acha kuuza mabinti wetu kwa wageni! Kwanza huu ni udhalilishaji.Wao wanaweza kukutafutia wasichana wa hivyo nchini Russia? Hebu tuthaminiane kama watanzania jamani na tuache kufikiri pesa ni kila kitu kwenye maisha! Ndiyo matokeo yake baadhi ya mabinti wanaishia kudhalilishwa kwakukutanishwa na mbwa. Wadada inabidi kujitambua nakujithamin jamani kah!
 
moyp unanidunda nahisi kuna kitu kibaya mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…