Fursa ya mahusiano.

mabinti angalieni sana msije kuponzwa na tamaa ya pesa..fikiri kabla hujatenda......mtaishia kuwa watumwa wa ngono wa hao warusi,hao wana agenda ya siri..kwanza wanakuja kufanya nini hapa tanzania?waulizeni watu waliowahi kuwa huko Urusi...biasha haramu ya binadamu iko juuu sana siku hizi...
 
RUSSIA duh siwashauri hata kidogo hawana tofauti na wa Italy kwa roho zao!
waulizeni wadada waliowahi kukutana na waitaly, Russians and wagiriki wengine mpaka leo ni beyond repair downstairs!
 
Kuna wamama wanafanya hii biashara Hapa mjini...waliwahi Taka mchukua rafiki yangu tukiwa chuo eti wampeleke Italy kufanya modeling, akaja niomba ushauri,,,, nilitamani nimkate vibao kabisa, anawezaje kunasa kwenye mtego kipumbavu kiasi hicho? Sasa tumeni ayo maombi muende mkalalwe na mbwa
 
Run away from russian men! Marinda yatafumuliwa tu..
.. Ничего себя с русскими!
 
na mikataba ikisha watawatema dada zetu tena huko huko . je hawatakuwa changu huko ughaibuni?.
i suspect it might be a renovated new slave trade
Mbona hata kuna wabongo hutemana kwenye mahusiano tena wakiwa ughaibuni unajua nini kinafuata..Uzuri wa nchi za wenzetu sheria zina meno,so kila mtu hupata haki yake kwa asilimia kubwa siyo kama hapa Bongo.Hakuna slave trade,haya ni mapenzi kama mengine..!
 
Siyo wote wana tabia hizo,nina experience na watu hao zaidi ya miaka kadhaa,so kulalwa na mbwa its Impossible.
 
Run away from russian men! Marinda yatafumuliwa tu..
.. Ничего себя с русскими!
Acha woga,mbona hata wabongo wengine ni NOMA kwa kugegeda mpaka wanavishwa na PETE jinsi ya mitarimbo yao ilivyo mirefu na minene..@!
 

Utumwa wa ngono hata hapo Bongo umejaa,ni uamuzi wa mtu,Urusi ipi kwenye biashara ya binadamu..? Ungeijua Urusi usingesema hayo..Pole..!
 
Acha woga,mbona hata wabongo wengine ni NOMA kwa kugegeda mpaka wanavishwa na PETE jinsi ya mitarimbo yao ilivyo mirefu na minene..@!

Hahaha! Siogopi ati, kwani mi ndo nitafumuliwa marinda!..
 
Ngoja nitumie hii fursa vumbi la tz limenichosha,,,,, ngoja ni ku pm mdau.........
Kwenye sifa ya Spirit tunaendana sana!!!!!!!!!!!!
Sijawahi kugegedwa na mdhungu ngoja nijaribu nione.
 
haya ebu ni juze cha pekee sana huko urusi tofauti na mataifa mengine huko ughaibuni?....
 
wewe wakala wa hiyo dili utalipwa kiasi gani baada ya zoezi nzimaaaa................mmmh
 
wewe wakala wa hiyo dili utalipwa kiasi gani baada ya zoezi nzimaaaa................mmmh

Kuwatafutia wenza wao hiyo ni extra service (silipwi kitu) nje ya ile yenye mkataba ya Organizer wa activities zote hapa Tz/Zanzibar kwa mwezi 1.
 
impossible kwa sababu gani? acheni kuwa laghai mabinti wa watu,watu wenye ngozi nyeupe ni wachache sana wata kaowapenda kwa dhati mabinti wa kiafrika kama siyo tu wanakuwa sexual objects, kwani hao walio lazimishwa kufanya mapnezi na mbwa hawakufanyiwa hivyo na kulaghaiwa mpaka kufunga ndoa? mwurusi aje kutafuta mke tanzania kule kwao hakuna mabintiii.............wana lao jambooo/
 
Hivi unajua kazi zao wanazo fanya? Hapo ndipo tunapo potea watz, tunaona dili sana kupata hawa jamaa wa mataifa ya nje. Kwanini wakutumie wewe kwani siwatakuja huku, waongee nao watakao kutana nao.

Dada zangu nawashauri sana msikimbilie hawa jamaa bila kuwafahamu kiundani. Mtakuja kuishia pabaya sana.
 

Kama nilivyosema hapo juu,hawa warusi wameajiriwa na kujiajiri au unataka nikutajie mpaka majina ya ofisi zao..? Maombi ndo kwanza yamefika 22 mpaka sasa endeleeni kutuma maombi kwa wale wenye sifa na wahitaji..! Ukitaka kufanikiwa dunia hii lazima uingie risk,hakuna mafanikio bila risk ndio maana watz wengi ni masikini wamebaki na mboyoyo(longolongo) tu kila kila ukimwambia anakuambia haiwezekani,kwa nini isiwezekane...?? Think twice..!@!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…