MUSSA GUETTA
Member
- Oct 11, 2015
- 38
- 2
.juzi kwenye basis kaingia Dada nasikia ...habari za SAA hizi abria ,wakubwa shikamooni...tirarira nyiingii baadae katoa dawa ya kuondoka vipele sijui chunusi usoni...nilichoka alivyokuwa anaitangaza Kwa mbwembwe wakati yeye usoni ana vipele kama fenesi...
Wewe binausi umefanikiwa kwa kiwango gani??
Halaf mnawarubuni sana wanafunzi msimu wa Boom huu mnazikombeleza hela zao zote, watoto wa watu wanatafuta wateja kwa tabu hadi mabox ya bidhaa yanawachakalia mikononi...
Mnadhambi sana nyie
.juzi kwenye basis kaingia Dada nasikia ...habari za SAA hizi abria ,wakubwa shikamooni...tirarira nyiingii baadae katoa dawa ya kuondoka vipele sijui chunusi usoni...nilichoka alivyokuwa anaitangaza Kwa mbwembwe wakati yeye usoni ana vipele kama fenesi...
kampuni haishauri kununua bidhaa ukakaa nazo ndani kama duka, jiunge, tafuta wateja ukipata ndio unafanya order yako na kuuza
oriflame ni wehu. nilijiunga nao nikajuta. bidhaa ya bei ya chini ni elfu 45, halafu unaambiwa ukachukue order then mteja akupe hela ukamletee bidhaa. sasa mteja unakuta hakujui, halafu ukupe hela ukamletee bidhaa, isitoshe bidhaa ni ghali sana, halafu oriflame ni matapelitapeli fulani
Kwahiyo mnawashikia watu hela zao hadi watakapopata wateja???
Teh teh teh teeeeh.....
Bidhaa za oriflame ni nzuri kwakweli, kwa nilizozitumia nimezipenda, nitajiunga ili niwe nanunua kwa matumizi yangu kwa bei nzuri.....hayo mambo ya kuconvince watu wajiunge ni ngumu sana
karibu
Bidhaa za oriflame ni nzuri kwakweli, kwa nilizozitumia nimezipenda, nitajiunga ili niwe nanunua kwa matumizi yangu kwa bei nzuri.....hayo mambo ya kuconvince watu wajiunge ni ngumu sana