Fursa ya kupeleka mchele nchini Rwanda

Biashara ipo kwenye right information na mtaji...kuna watu ni wachoyo wa taarifa ie masoko yalipo... wanataka wapate wao tu....
Mane you are my friend I will give you tips/ways....
 
Biashara ipo kwenye right information na mtaji...kuna watu ni wachoyo wa taarifa ie masoko yalipo... wanataka wapate wao tu....
Mane you are my friend I will give you tips/ways....

Deffinetly
.Naskia kwa sababu ya mgogoro wa Rwanda na Uganda ndo maama misosi inapelekwa toka Tzee...!soo lovely
 
Si utapeli .biashara zina changamoto.kuna jamaa yangu alipata idea ya matikiti maji akaanza kulima alichokutana nacho mungu anajua.utafiti wa kutosha ni muhimu kabla hujaweka fedha zako.mpenzi

Sawa sawa mpendwa!nadhan watafte zaidi infos
 
Si utapeli .biashara zina changamoto.kuna jamaa yangu alipata idea ya matikiti maji akaanza kulima alichokutana nacho mungu anajua.utafiti wa kutosha ni muhimu kabla hujaweka fedha zako.mpenzi
Usifanye biashara kabla hujajua soko ..
na kwenye biashara kuna kupanda na kushuka....ukisema ukalime tikiti by the time tikiti lako linakomaa utakuta soko limeshakuacha....
 
Biashara ya mazao kwa sasa siyo rasmi sana. Watu wanalizwa sana. Imekaa kimagendo zaidi. Inafanyika kihivyo . inahitaji umakini. Sidhani kama kuna leseni. Wewe wapelelleze utapata habari zaidi.
 
Hii ni kweli jamaa wananunua ngozi na wanakula. Niliwahi kumuona mnunuzi kutoka Nigeria akiwa na agent wa ki bongo
 
[U/]Maombi ya passport kwa njia ya kielectroniki

Hii ni huduma mpya inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Pasipoti kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu naye kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Pasipoti. MAHITAJI;-

.Cheti cha Kuzaliwa Mwombaji

Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa Mzazi wa Mwombaji

Kitambulisho cha Taifa

Picha ya Mwombaji ya hivi karibuni yenye kivuli cha rangi ya buluu isiyokoza (Light blue Background)

Ada ya Fomu Tsh 20,000

Ushahidi wa Safari au Ushahidi wa Shughuli anayofanya Mwombaji.

JINSI YA KUJAZA;-

Bofya Anza kujaza fomu, kwa Ombi Jipya

Bofya ENDELEA ili kuendelea na Ombi ambalo halikufikia mwisho
Utahitajika Kujaza Namba ya Utambulisho (Rfeference ID) wa Ombi lako na Namba ya Ombi (Application Number) husika

Jaza Taarifa zako sahihi kwa ukamilifu

Hifadhi Namba yako ya Utambulisho (Application ID) kwa matumizi ya baadaye.

Jaza Taarifa za Pasipoti ya zamani (ikiwa uliwahi kuwa na pasipoti)

Jaza Taarifa za Wadhamini na Watu ambao ungependa wapewe taarifa endapo utatakewa na tatizo lolote

Ambatanisha Vielelezo vyote vinavyohitajika (kwa kuzingatia maelekezo)

Hakiki Taarifa zako zote na kisha bofya kukubaliana nazo ikiwa ziko sahihi

Lipia fomu yako baada ya kupatiwa Namba ya Kumbukumbu ya Malipo (Control Number)
 
www.immigration.go.tz
 
Hii ni kweli jamaa wananunua ngozi na wanakula. Niliwahi kumuona mnunuzi kutoka Nigeria akiwa na agent wa ki bongo
Ni kweli....
Ila wapo watakaobisha...
watz tumekuwa wazito sana kufanya research za masoko na ndio umasikini wetu ulipo....
Wakenya na Waganda wapo sharp sana wametuacha mbali sana....
 
Biashara ya mazao kwa sasa siyo rasmi sana. Watu wanalizwa sana. Imekaa kimagendo zaidi. Inafanyika kihivyo . inahitaji umakini. Sidhani kama kuna leseni. Wewe wapelelleze utapata habari zaidi.
Kuna fluctuations....
chakula kikipungua wanasitisha vibali/leseni
hata kwa ngozi za wanyama ilikuwa hivyo but sasa hv vipo na vinatolewa...
ni ufatiliaji wa taarifa sahihi kutoka kwa mamlaka husika...
 
Sasa bibie si ungewauliza haohao vijana kuhusu hio leseni ya afrika mashariki waliipataje,au wao hawana wanasafirisha kwa njia ya panya.
 
Ni kweli....
Ila wapo watakaobisha...
watz tumekuwa wazito sana kufanya research za masoko na ndio umasikini wetu ulipo....
Wakenya na Waganda wapo sharp sana wametuacha mbali sana....

Sijui shida iko wap jamani
 
Sasa bibie si ungewauliza haohao vijana kuhusu hio leseni ya afrika mashariki waliipataje,au wao hawana wanasafirisha kwa njia ya panya.

unavyopenda kutafuniwa...!tafuta info na ww..shauri zako
 
Tumegee wengine tupo serious tunazisaka hizi fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…