Biashara ya mazao kwa sasa siyo rasmi sana. Watu wanalizwa sana. Imekaa kimagendo zaidi. Inafanyika kihivyo . inahitaji umakini. Sidhani kama kuna leseni. Wewe wapelelleze utapata habari zaidi.
Sio kweli mkuu leseni ya biashara ya mazao kama ni kwa ndani ya nchi hutolewana halimashauri husika u ayofanyia biashara, gharama yake ni laki 3,kwa mwaka, kama kwa export hutolewa na wizara ya viwanda na biashara nayo ni laki 3!!!na hata mwezi uliopita tu nimekata hizo leseni.