Mimi nilipata habari ya shamba linapatikana mtwara vijiji ekari 8 kwa 2.5mil, linamikorosho kiasi kama 7¼ekari,
Sifahamu chochote kuhusu kilimo cha korosho.
Je nikilipa hiyo pesa ni sahihi au nitakuwa nimeliwa?
Kinachosumbua katika haya mashamba ni moto na wakulima wengi wa kusini hupendelea kilimo cha moto kwa hyo kipindi cha mwez wa 7,8,9 inakuaga ni miez ya moto mimi sina ham kabisa nz hii kitu tena hadi nimeanza kuhisi ni ushirikina.