Kama una hela nenda kule kwa wiki moja au mbili ufanye uchunguzi wako, bidhaa zinazohitajika, wateja wako, bei, gharama za kusafirisha.Tatizo la watanzania wengi wanaofanya biashara Comoro ni wabinafsi sana na wachoyo,nina washkaji kama 5 hivi ila wote ukiwaambia wakupe ramani za huko wanakwepa kwepa tu....
Huyu itakuwa amefka huko. Sema kama vipi atoe details za kutosha jinsi ya kufika huko na kufurahia maisha ya kibiashara ya huko
hilo lipo kichwani...ni swala la muda tuKama una hela nenda kule kwa wiki moja au mbili ufanye uchunguzi wako, bidhaa zinazohitajika, wateja wako, bei, gharama za kusafirisha.
Ukirudi elimisha watu unaowaamini umoja ni nguvu.
kama M1 go and return....sina hakika sanaNauli mpaka Comoro ni kiasi gani kutoka Dsm.
hapana mkuu visiwa vya comoro ni 99% MuslimHuko vipi nikipeleka kitimoto?
Mbichi inapatikana changamoto
ilo ndio tatizo kubwa sana ..linatufanya weng tunadumaa sababu waliotoka hawasem ya uko matokeo take wacomoro wenye ndio huja uku wanatupiga bao na kupata faida zaid sababu wananunua bei ya chin uku wanapeleka kwao bei juu KIHUARISIA: tunailisha sana comoroTatizo la watanzania wengi wanaofanya biashara Comoro ni wabinafsi sana na wachoyo,nina washkaji kama 5 hivi ila wote ukiwaambia wakupe ramani za huko wanakwepa kwepa tu....
nina mwaka sasa mkuu tang nianze safar za uko ..pia nitakuwa wa kwanza kushare fursa na wenzang mana watz wanaofanya biashara comor o hawatoi ushirikiano ...mm kinachoniuma ni kuona mcomoro anakuja kununua apple tz wakat kuna kijana wa tz anaweza kupeleka comoro wakazinunulia uko nas tukafaidika mara 2