Fursa ya afya kwa vijana 18yrs and above

Fursa ya afya kwa vijana 18yrs and above

robert_k

Member
Joined
Sep 27, 2019
Posts
42
Reaction score
19
Habari wanafamilia wa jamii forum. Nachukua nafasi hii kutangaza fursa kwa vijana wenywe miaka 18 na zaidi juu ya afya. Sekta ya afya ni mmja ya sekta zinazokuwa sana duniani na ni sekta inayoongoza kwa kutopata hasara. Hivyo basi ewe kijana mwenye akili sawa sawa, haijalishi unafanya kazi gani au una elimu kiasi gani, hii fursa kila mtu anaweza kuifanya. Utapata nafasi ya kuwa na mafanikio ya kiafya, mafanikio ya kiuchumi na pia kukutana na wajasiriamali wa afya wa ndani na nje ya Tanzania. Kama kijana au binti utapenda kujua zaidi kuhusu hii fursa fika jumanne pale lions hotel,sinza kumekucha kuanzia sa 5 asubuhi au piga no.0766317197/0693307877
 
Tangazo lako halitoshelezi ..ujasema fursa inahusu nini zaidi

Na pia ningependa uliza apo sinza kutakuwa na chakula na vinywaji maana usije umiza vijana ya watu
 
Hapo sinza jumanne na jumamosi kutakuwa na maonesho ya afya na mazingira. Na kuhusu hiyo fursa nishaweka wazi inahusu jinsi gani tutamulika nafasi ya kujiajiri kwa kijana kupitia afya, afya ambayo kila mtu lazima awe nawe.
 
Watu wa aina ya forever living na the like..
 
Hii sio forever au Aim. Hii ni platform ya kutadhimini tunakulaje tunakula katika mtindo gani wa lishe. Afya ni jambo la kwanza na muhimu sana, ni mafanikio wa pekee. Hivyo tunajadiliana kuhusu lishe na magonjwa yote yanatokana na lishe mbovu. Mwisho tunatoa suluhisho tujiajiri vipi katika lishe, vile vyakula ambavyo kwa namna mmja au nyingine hakuli kama nafaka na nafaka ni muhimu sana katika kufungua chembe hai. Tutauzaje hizi vyakula ambavyo jamii kwa asilimia kubwa sana wanahitaji lakini hawali kwa wingi katika lishe zao.

Ndio maana hii ni fursa kwa kijana yeyote maana tunagusa mambo muhimu sana katika jamii hasa katika afya. Ndoa nyingi changa zinalalamika ugumu wa kupata watoto lakini ukiuliza mfumo wao wa kula utajua chanzo kinaanza katika lishe

So its nothing about Aim wala forever ni purely elimu ya kawaida sana na suluhisho la kujidhatiti tufanyaje tuingie katika ujasiriamali wa kuuza vyakula hizi muhimu ambavyo jamii inakosa. So kama wana jamii au kijana sio ya kukosa, uwepo wapo kutaokoa watu wa familia yako, majirani yako n.k
 
Aim global ,forever n.k takataka tu na utapeli hawana chochote cha maana zaidi ya kuwaibia watu pesa zao tu.
 
Back
Top Bottom