ntawi hussein
Member
- Apr 8, 2018
- 35
- 15
Kama mtakutana watu waaminifu wenye hofu na mungu nahisi tunaweza kufanya kitu
Tunaweza kutengeneza group la WhatsApp tukajadili tukakutana tusiwe wengi sana na hata kama tukiwa wengi tujigawe kimagroup lakini tunaweza kushirikiana tunaweza kuwa na viongozi na kila mwanachama lazima atoe cv yake ikionyesha physical address na contact zote vile vile kwny maswala ya pesa tusikubali ashike mtu, all in all kila kitu kinawezekana cha muhimu ni kujicommit na kuweka sheria ambazo ni muhimu kufatwa uaminifu pia unahitajikaTumfate Nani pm ili atuorganize Ila tusijejuta kumfuata Ni fursa nzuri hii.
Kama tutafanikiwa ktk hili nahisi unaweza kuwa na msaada kwetuKuna fund serikali hutoa kwa vijana wakiwa vikundi mm nliwah fatilia wizara ya vijana nkapewa utaratibu lkn ckuendelea mkiwa wachache wenye nia nendeni mkamuone dr. Kisui yuko vizuri sana anatia moyo pale ofisini kwake karibu na serena hotel
hehehehehee...eti askofu jamani nyie mna utani na watu wa Mungu eeh??Hivi ile kitu iliyianzishwa na askofu Silvester Gamanywa iliishia wapi!
Duu.. Kwa sifa hizo na bado unatafuta kazi!? Ataree`'Kiswahili.''
NATAFUTA KAZI YA UDEREVA.
Kuanzia gari ndogo mpaka Gari za kubeba mizigo tani 30.
SIFA.
1. NINA LESENI YANYE MADARAJA A,B,C1,C2,C3,D,E.
2. ELIMU KIDATO CHA SITA.
3. NINA UWEZO WA KUZUNGUMZA NA KUANDIKA LUGHA TATU. ENGLISH, SWAHILI, SPANISH.
4. NINA UWEZO WA KUTUMIA COMPUTER, KUCHAPA KAZI KWA KASI SANA, MICROSOFT WORD, EXCEL, PUBLISHER. NA NYINGINEZO.
5. NINA UWEZO WA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA GPS NA KUSOMA RAMANI.
6. NINA UWEZO PIA WA KUTAFSIRI LUGHA MBALI MBALI KUTUMIA TEKNOLOJIA.
7. NINA UWEZO WA KUANDAA NA KUANDIKA TAARIFA YOYOTE RASMI. MFANO, AGENDA ZA VIKAO, BARUA RASMI, NA NYINGINEZO.
8. NINA UWEZO WA KUFANYA MATANGAZO NA MAUZO KWA NJIA YA MITANDAO.
9. UWEZO WA KUFANYA MATENGENEZO MADOGO MADOGO KWENYE GARI HASA YA DIÉSEL.
10. MBUNIFU SANA NA MCHAPAKAZI.
11. SINA TAARIFA YOYOTE YA JINAI.
12. KUJITOLEA.
UZOEFU
1. NIMEWAHI KUA (TRANSPORT OFFICER) MSIMAMIZI WA MAGARI NA HUDUMA ZOTE ZA USAFIRISHAJI KWENYE KAMPUNI.
2. DEREVA WA WATU BINAFSI HASA WAGENI MBALIMBALI. MFANO, WACHINA NA ITALIANO.
3. DEREVA WA LORI AINA YA FAW, SCANIA, IVECO. (DUMPER, FLATBED)
4. MSHAURI WA USAFIRISHAJI KWENYE KAMPUNI.
5. UZOEFU WA KUENDESHA MIKA 6 BILA KUSABABISHA AJALI.
NB; USHAURI, MSAADA TAFADHALI NINA FAMILIA NATESEKA SANA.
Kwa wale wataoitaji kuhunda kikundi watumie namba zao humu , Nitatengeneza group la what's app
Bila shaka ana cheti halali cha Form Six lakini anamiliki cheti FEKERO cha form four. Hivo ramani zimegoma.Duu.. Kwa sifa hizo na bado unatafuta kazi!? Ataree
Nafasi za Kazi Field Assistant, Laboratory Technician & Driver - IITA, mwisho wa Kutuma Maomni ni Tarehe 27 April 2018`'Kiswahili.''