Fursa sandals za ngozi au za kimasai

Fursa sandals za ngozi au za kimasai

mtoa uzi yakupasa uwaelekeze watu vizuri utakiwi kuwa mkali hao ndio wateja,sio wote ambao hawajui bei ya machinga complex tunajua sandle zinauzwa buku nane hata uchukue moja bei haibadiliki sisi mitaani tunauza buku kumi moja sasa ww 8500 halafu kuna njemba inakutetea
 
Biashara ni maelewano ndugu, bei inategemea na kiatu kilivyotengenezwa ubora wake na muonekano pia , sasa Mimi nauza 8500 kwa wateja wa bongo ila kuna wateja wangu wako zambia na wananunua 10000 kila pea na huwa wanafunga mzigo pea hadi 300 kila mwezi, na pia wateja wangu wa dar wananunua kwa 8500 wanaacha hivyo 7000 na 8000 kwa sababu wanaangalia ubora, sasa wewe unanunua viatu 7000 mteja anajaribu mguu unaenda upande unakuja havitoki unaanza kulaumu, mimi nimeleta Uzi huu ili niongeze wateja maana uzalishaji wangu kwa sasa ni mkubwa natoa hadi pea 300 kwa siku, lengo nitanue mtandao wa wateja, .. Karibu tufanye Kazi.
 
nashkuru mkuu nitakucheki kesho hapo karume ni PM hata jina lako au namba nikija nikucheki maana mpo wengi karume
 
Uko wapi? Je nikuunganishi wateja utakuwa unanitoa? 800 kwenye kila pea, nipe namba yako
 
Nipo karume dar, we niunganishe na wateja utapata cha juu usijali , na ukiweza kupata wateja wengi nawe utapata zaidi speed yako ndo pesa yako, kama vipi njoo pm tufanye kazi.
 
Mkuu sikuhizi Wachawi hawana Haya, Hata Mchana kweupe wanajiachia.

Sasa nini kama Si Kuchawia Biashara ya Mtu huko?
Kitu ambacho huwa nashangaa sana ni utamuduni uliochipuka Tanzania wa kutaka kila mtu akubaliane na sifa za bidhaa anazotoa mtengenezaji bila kuhoji. Na anayehoji huitwa mchawi! Hii inaonyesha jinsi tunavyoamini kwenye kuuza bidhaa kwa njia za kilaghai. Dunia ya sasa kwenye biashara matangazo vs uchambuzi wa ubora wa bidhaa ni vitu vinavyokwenda sambamba.
 
Kuulizana kwa 'Busara' si dhambi.
Ila,Kusubiri Mtu atangaze Bidhaa yake na kuweka Bei kisha ujitokeze wewe ukiwa unatangaza Biashara hiyohiyo na kujidai kuwa unayo Bei mbadala hiyo haiwezekani kuwa sawa.

Ni zaidi ya Ushirikina.
 
Wewe kama sio shoga ni Malaya Wa kiume tena shetani Wa jicho moja.
umepatia wala hujakosea me ni shogake mamaako alivyokua anatiwa na wapagazi ukapatkana ww me ndo nlikua namuunganisha
 
Kuulizana kwa 'Busara' si dhambi.
Ila,Kusubiri Mtu atangaze Bidhaa yake na kuweka Bei kisha ujitokeze wewe ukiwa unatangaza Biashara hiyohiyo na kujidai kuwa unayo Bei mbadala hiyo haiwezekani kuwa sawa.

Ni zaidi ya Ushirikina.
me siuzi nimetoa alternative kaka kama unahic ww peke yako ndo unatengeneza viatu hivyo tena vyenye quality nzuribkuliko vyote huo ni uzwazwa
 
Ukiwa mfanya biashara kama huwezi kukabiliana na vitu kama hivyo kwa busara basi utagombana na watu kila siku na wateja watakuona kama unataka kuwalalia! Mwenzako anajua biashara na ndiyo maana ametoa sababu ya bei yake kuwa kubwa... ie quality. Angeamua kukasirika kama wewe na kumwita tu mchawi na mshirikina potential customers wangeona kama alitaka ''kuwapiga'' ndiyo maana baada ya kuumbuliwa akakasirika na kutukana. Njia yako ya ku-handle tatizo bado inatumiwa sana na wafanyabiashara wengi wa Bongo wasijue kuwa wanajiangusha wenyewe.
 
Tandika sokoni wanauza jumla 7000 tena vynye shanga wapo mitaa ya karibu na kwa wahaya
Yani watu wengine, kwani lazima ucoment.. kama huhitaji unapita tu biashara za watu ndio maisha yao.. ni biashara huria.. Roho ya kwanini sio nzuri
 
me siuzi nimetoa alternative kaka kama unahic ww peke yako ndo unatengeneza viatu hivyo tena vyenye quality nzuribkuliko vyote huo ni uzwazwa

Acha UMBWIGA anzisha Uzi wako weka hizo 'alternative-mavi' zako.

Umewahi kuona wapi Dukani kwa mtu ukapeleka Bidhaa yako inayoendana na ile ya mwenye Duka sababu ikiwa kuonyesha utofauti?
 
kwahiyo una duka hapa? by the way me cwapend watu kama ww madalalli? nyie ndo mnafanya vitu vinakua ghali hapa mjini
 
Ukiwa mfanya biashara kama huwezi kukabiliana na vitu kama hivyo kwa busara basi utagombana na watu kila siku na wateja watakuona kama unataka kuwalalia! Mwenzako anajua biashara na ndiyo maana ametoa sababu ya bei yake kuwa kubwa... ie quality. Angeamua kukasirika kama wewe na kumwita tu mchawi na mshirikina potential customers wangeona kama alitaka ''kuwapiga'' ndiyo maana baada ya kuumbuliwa akakasirika na kutukana. Njia yako ya ku-handle tatizo bado inatumiwa sana na wafanyabiashara wengi wa Bongo wasijue kuwa wanajiangusha wenyewe.
Narudia tena;
Mteja kuhoji si dhambi.

Ila namna Mtu anavyohoji inakupa picha ni Mteja au Mfanya vurugu.

Hapa JF usipojua namna ya ku-deal na watu hawa utapata sonona.

Ieleweke sikusema muuzaji asihojiwe,
Ila hili la kuparamia Uzi wawatu na kuweka hadi Bei nyingine.
Eti,'Sehemu fulani utapata kwa Bei fulani' -Nini hii?
Unania kweli mwenzako afanye Biashara?

After all, BIASHARA si-ni huria?
Shida yako wewe nini?

Au tuseme wewe Mzuri sana kwa mnunuzi na unawapenda,
Kwanini usifungue Uzi wako uweke hizo Bei zako?

Muungwana hawezi kufanya 'ujinga' huu.

Umegusia swala la Ujuvi wa ufahamu wa Biashara:
Hewala, Nami nikiri kuwa ni maamuma,

Ila nisaidie kidogo,
Unadhani kwanini masharti ya kumiliki Majokofu ya kuhifadhia Vinywaji baridi vya Makampuni kama Coca na Pepsi hairuhusiwi kuhifadhi kinywaji tofauti kwenye jokofu lisiloendana na kinywaji husika?
Jua tu kuwa haukuwa uamuzi wa bahati mbaya huo?

Rahisi tu,
Unaweza kumbadilisha uamuzi Mteja kwa kitu kidogo sana.
Na kwa mambo ya kijinga kama yanayofanywa na baadhi ya watu wa JF Utadhani wametumwa.

NASEMAJE;
Uchawi ni hadhi ya staha zaidi kuwaita baadhi ya watu.
 
kwahiyo una duka hapa? by the way me cwapend watu kama ww madalalli? nyie ndo mnafanya vitu vinakua ghali hapa mjini
By the road,
Mimi wajingawajinga kama wewe,
Sitaki hata kuwaona kabisa.
 
Narudia tena;
Mteja kuhoji si dhambi.

Ila namna Mtu anavyohoji inakupa picha ni Mteja au Mfanya vurugu.

Hapa JF usipojua namna ya ku-deal na watu hawa utapata sonona.

Ieleweke sikusema muuzaji asihojiwe,
Ila hili la kuparamia Uzi wawatu na kuweka hadi Bei nyingine.
Eti,'Sehemu fulani utapata kwa Bei fulani' -Nini hii?
Unania kweli mwenzako afanye Biashara?

After all, BIASHARA si-ni huria?
Shida yako wewe nini?

Au tuseme wewe Mzuri sana kwa mnunuzi na unawapenda,
Kwanini usifungue Uzi wako uweke hizo Bei zako?

Muungwana hawezi kufanya 'ujinga' huu.

Umegusia swala la Ujuvi wa ufahamu wa Biashara:
Hewala, Nami nikiri kuwa ni maamuma,

Ila nisaidie kidogo,
Unadhani kwanini masharti ya kumiliki Majokofu ya kuhifadhia Vinywaji baridi vya Makampuni kama Coca na Pepsi hairuhusiwi kuhifadhi kinywaji tofauti kwenye jokofu lisiloendana na kinywaji husika?
Jua tu kuwa haukuwa uamuzi wa bahati mbaya huo?

Rahisi tu,
Unaweza kumbadilisha uamuzi Mteja kwa kitu kidogo sana.
Na kwa mambo ya kijinga kama yanayofanywa na baadhi ya watu wa JF Utadhani wametumwa.

NASEMAJE;
Uchawi ni hadhi ya staha zaidi kuwaita baadhi ya watu.
Kumbe bado hujapata point yangu. Point yangu ni kuwa kuwana unapokuwa kwenye biashara, unakutana na wateja wa kila aina na tabia. Hivyo ni juu yako kuwaelewa na kuepuka kujibizana nao vibaya hata kama wamekukwaza!
 
kila biashara ina wateja wake kwa mtazamo wangu. Mfano bei ya juisi ya samaki samaki ukimleta mtu kutoka Tandale atajua unamuibia tu na matusi na kashfa atakupa. Kwa hiyo segmentation ni muhimu katika biashara yeyote. Usipofanya hivyo utakumbana na watu wataokukatisha tamaa kumbe in reality si wateja walengwa wa ile biashara yako. Kwa hiyo cha muhimu mara nyingi ni kunyamaza kimya kwa wale unaoona kabisa huyu si mteja anataka tu kuleta usumbufu. Ambao ni wateja halisi watamfuata tu inbox.
 
Mkuu umeeleweka vyema.

Hata hivyo,
Kuna aina fulani ya Wapumbavu kuwakalia kimya hata Mungu hapendi.

Kakuzwa kishenzishenzi na kushindwa kuelewa na kujua wapi anapaswa aseme au aulize nini na kwa namna gani tumuache tu?

Eti, in the Name of business,
Nani kasema?

Mbona wanaohoji kiungwana wanajibiwa.

Ipo mipumbavu mijuaji inachojua Kufanya ni vurugu tu humu.
 
Back
Top Bottom