Fursa sandals za ngozi au za kimasai

Hongera Chief, hayo ndo mambo ya kufanya sisi vijana je hapo juu unaweza kuweka manyoyanyoya sijui huwaga ya mbuzi au?naomba no pm nina kazi na wewe.
 
Bei inaendana na ubora , hivyo ni vYa kike tens ubora wake ni mdogo , Mimi Kazi zangu ni quality angalia sample zangu hapo juu halafu linganisha na ulizoona tandika bei inategemea na quality, hats ukinipa oda kwa 7000 nakutengenezea ila vitakuwa tofauti na vYa 8500 upo hapo.
samahani bro ila hiyo quality ni ndogo sana kwa mwonekano labda kama umetengenezea kw kutumia ngozi sio plastic
 
Kuna ujinga mmoja hivi MTU akijitokeza na biashara yake unakuta jitu linakurupuka hata linapotoka halijurikani kutaka kuleta ubishano wa kishamba,vitu vingine ukisoma unapita tuu sio mpka uchangie upuuuzi.
Hivi ukae ilala upande gari mpka tandika kwa pair moja ya 7000????
hiyo sio bei ya pair moja ni kuanzia pair 10 ni bei y jumla
 
Tatizo lipo wapi sasa mbona watu mmekua wajuaji hivi.. pumbavu kabisa!
Biashara na hasira wapi na wapi bro kwenye biashara kuna changamoto nyingi
Jibu kistarabu tu unaweza
Toa sifa ya bizaa yako kwa nini inauzwa hivyo tofauti na hao lakini ukitukana inashusha heshima ya biashara yako
 
mwache maisha magumu sana mwache apunguze stress na unaweza kuta yy hata vinapotengenezewa hapajui ni dalali tu
 
Hongera Chief, hayo ndo mambo ya kufanya sisi vijana je hapo juu unaweza kuweka manyoyanyoya sijui huwaga ya mbuzi au?naomba no pm nina kazi na wewe.
Asante mkuu, Mimi natengeneza design YOYOTE unayoitaka wewe, kwanza nakutolea sample moja ya design unayotaka unaicheki then ndo tunafyatua mzigo mkubwa.
 
samahani bro ila hiyo quality ni ndogo sana kwa mwonekano labda kama umetengenezea kw kutumia ngozi sio plastic
Ndugu kupitia huu uzi nimeshapata wateja mpaka sasa wamefika 13 na oda imefika pc 83 sasa wewe endelea kupoteza muda wako kukomenti yaani wateja wanaongezeka huu Uzi nimeweka Jana usiku tu , siwezi kubishana na wewe maana sio fundi hujui kitu kabisa
 
Hongera Chief, hayo ndo mambo ya kufanya sisi vijana je hapo juu unaweza kuweka manyoyanyoya sijui huwaga ya mbuzi au?naomba no pm nina kazi na wewe.
Hayo manyoya ya mbuzi boss nazungushia kwenye kiatu inapendeza sana jumatatu nitatengeneza halafu nitaweka picha ya hiko kiatu .
 
Back
Top Bottom