robert_k
Member
- Sep 27, 2019
- 42
- 19
Tuko katika nchi iliyobarikiwa sana. Tuna rasiriamali za kutosha, tuna vivutio mbali mbali za utalii. Uwepo wa vitu vyote hivi ndio kunaongeza mawazo mapya ya kuporesha kila baraka tuliokuwa nazo nchini. Nashukuru Mungu kuna cable cars kilimanjaro ni jambo zuri sana sana
Nilipata nafasi ya kutembelea mji mmja unaitwa dublin, republic of ireland. Kule kodi ni kubwa sana, hivyo kuna idadi kubwa ya watu wasiokuwa na makazi yani jobless. The thing ambacho serikali walifanya walianzisha program ya kuwa train wale ambao hawana makazi katika sekta ya utalii. Wanawapa elimu juu ya kumpokea mtalii, kumuelezea vivutio vya mji wa dublin na mwisho wa siku serikali na mtu wanagawana 50-50% hichi kitu kimerudisha tumaini jipya kwa watu wasiokuwa na makazi.
Sasa hapa nchini, mwaka huu tu tumezindua soko kubwa africa mashariki la dhahabu kule Geita. Sawa kwa upande mmja serikali wamefanya la maana sana, swali Je kuna fursa gani kutokana na hilo soko? Ushaingia playstore uka search app special ya Geita gold market? Jibu hapana, wageni wa nje wafanyabiashara wa nchi mbali mbali watapata wapi taarifa juu ya soko,bei, dhamani ya dhahabu kama kwa sasa dunia ipo katika digitali? Kupitia mtandao ndipo wanapata kiurahisi taarifa hizi muhimu
Acha leo mfanyabiashara, muwekezaji nikupe changamoto mpya kama niliyojipa mimi ya kutengeneza app special ya GEITA GOLD MARKET humo wafanyabiashara watapata platform ya kujua bei ya dhahabu kila siku, wauzaji pia watapata nafasi ya kujitangaza kiurahisi zaidi, mtu yeyote anayetaka kuingia katika soko ataingia kiurahisi zaidi
Acha nipate wachache tutakaojadiliana katika kufanikisha jambo hii mapema mwaka 2020. Kwa mawasiliano juu ya hii project kubwa ya mafanikio Tuwasiliane 0766317197/0693307877