Umeshindwa kumtafuta muuzaji wako mfanye kazi vingunguti mbuzi 80k mpaka 120k ukimuuzia kwa 300k uhakika miguu juu ya viti virefuTatizo lao wanapenda kuzungumza kiarabu, hata km anajua kingereza atavunga, ila morocco kuna ela
Ulikumbuka kuwauliza vipi uwanja wa michezo waliotuahidi?Kuna fursa nimeliona morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Ni wewe sasa uuzw vingunguti au morocco, alafu uzi umelenga wale wa mbuzi wengi, vungunguz utamuuza moja ukimaliza unafata tena ila hii soko kubwa alafu uhakikaUmeshindwa kumtafuta muuzaji wako mfanye kazi vingunguti mbuzi 80k mpaka 120k ukimuuzia kwa 300k uhakika miguu juu ya viti virefu
Hadimu❌Kwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda morocco kupitia Mali kwa Tombouctou airport ya mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua tunaojitafuta kila tulipo tunaangalia furasa, kati ya majiji niliotembea ni pamoja na Nador, Tetouan na Tangier(mji wa kibiashara sana,maana hapa watu utoka ulaya kuja kufanya biashara hapa).
Kuna fursa nimeliona morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Kule warabu wana ela hawalili bei kiasi hicho,km anaitaji atachukua.lkn mbuzi wengi sana wanaenda ulaya,nimeona niwasanue kwa hili.
MhhUmeshindwa kumtafuta muuzaji wako mfanye kazi vingunguti mbuzi 80k mpaka 120k ukimuuzia kwa 300k uhakika miguu juu ya viti virefu
Wengi wanaangalia soko la Oman na Comoro Hilo linaweza kuwa soko jipya tatizo ni logistic ya kufika hukoTanzania si nasikia tuna export nyama ya mbuzi huwa wanapeleka wapi?