Yeye anadhani ni rahisi tu hivyo!Mkuu,Wanawezaje kukuamini?
Mkuu,Wanawezaje kukuamini?
Ndugu, any online business kwa nchi za dunia ya tatu kuna changamoto za namna hiyo. Hata Kule China ilikuwa hivyo. Lakini hatuwezi kuacha kufanya jambo kisa watu hawa-trust online businesses & services. We are here to pave the way. E-commerce won't fade away, E-commerce is the future.Yeye anadhani ni rahisi tu hivyo!
Mwenye duka mwenyewe huwa anafanyiwa vetting na research ya kutosha kabla hujamwamini kumtumia fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
+255 658 700 510Weka namba tufanye biashara
Ninaona lengo lako kuu kwenye hii reply nikutujuza biashara unayofanya (kujitangaza). Out of that is just noise. Nimeshawajibu kadhaa wenye mawazo kama yako. Refer the previous replies. Maisha ni kuchagua, kama wewe umechagua kuwa na mawazo mgando - ni wewe!Binafsi na fanya delivery ya electronic mikoani lakini sikuwa na ujasiri wa kumwaminisha mtu from know where nimekutana nanye tu jf nimtumie pesa kisha anitumie mzigo ... siyo rahisi sana ... ula nikutakie kila laheri mkuu
Mkuu ujasiriamali unahitaji risk takers ni vizur ukae kimya kwa faida ya wengineBinafsi na fanya delivery ya electronic mikoani lakini sikuwa na ujasiri wa kumwaminisha mtu from know where nimekutana nanye tu jf nimtumie pesa kisha anitumie mzigo ... siyo rahisi sana ... ula nikutakie kila laheri mkuu
Well said!Mkuu ujasiriamali unahitaji risk takers ni vizur ukae kimya kwa faida ya wengine
Kwa yeboyebo sijawahi pata customer, nitauliza bei then nitakuletea feedback.Yebo yebo Bei gani.