Fursa kwa wafanyabiashara ya mahindi

Fursa kwa wafanyabiashara ya mahindi

kerai

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
222
Reaction score
151
Habarini za Mchana,

Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es Salaam.

Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwa terms tutakazo kubaliana.

Store iliyopo mashineni inaweza chukua Tani 80 za mahindi kwa maramoja. Tayari tunamasoko kwa uwezo wa kusupply unga takribani tani 40 kwa mwezi.Yeyote aliyeko interested.

Please nicheki tuongee namna tunavyoweza kuinuana kibiashara.

0769630209.
 
Habarini za Mchana.
Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es salaam.
Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwa terms tutakazo kubaliana.
Store iliyopo mashineni inaweza chukua Tani 80 za mahindi kwa maramoja.
Tayari tunamasoko kwa uwezo wa kusupply unga takribani tani 40 kwa mwezi.
Yeyote aliyeko interested. Please nicheki tuongee namna tunavyoweza kuinuana kibiashara.
0769630209.
Safi sana hongera mkuu
 
Nam na idea kama yako swal mashine ilikughalim shilling ngap tupe mchanganuo
 
Mkuu ukigoogle humu jf watu kibao washaelezea sana kwa uzuri kuhusu hizi cost.
 
Habarini za Mchana,

Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es Salaam.

Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwa terms tutakazo kubaliana.

Store iliyopo mashineni inaweza chukua Tani 80 za mahindi kwa maramoja. Tayari tunamasoko kwa uwezo wa kusupply unga takribani tani 40 kwa mwezi.Yeyote aliyeko interested.

Please nicheki tuongee namna tunavyoweza kuinuana kibiashara.

0769630209.
Mkuu nitakutafuta maana nitakuwa nimepata sehemu sahihi ya kuuza mahindi yangu!
 
Hongera mkuu, mm ni mkulima ila kama vp tuingie mkataba niingie shambani baada ya miezi 4 nikuletee mzigo
 
Habarini za Mchana,

Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es Salaam.

Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwa terms tutakazo kubaliana.

Store iliyopo mashineni inaweza chukua Tani 80 za mahindi kwa maramoja. Tayari tunamasoko kwa uwezo wa kusupply unga takribani tani 40 kwa mwezi.Yeyote aliyeko interested.

Please nicheki tuongee namna tunavyoweza kuinuana kibiashara.

0769630209.
Asantee kwa kutuongezea kiwanda kingine, keep it up
 
Back
Top Bottom