Fursa ikitokea itumie

Fursa ikitokea itumie

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,578
Jambaz akiwa na bundik alvamia benk baada ya kupewa hela akamuulza mwanamke mmoja
"umeniona nikiiba benk"
mwnamke akajibu "ndio" akampiga risasi ya kichwa
akawaulza wanandoa walikua pembeni
umeniona nikiiba bank
mume akadakia "sijakuona lakini huyu kakuona" akamnyooshea mke wake
 
Ha ha ha, huyo bwana yaelekea ameshapata small house inayoshinikiza amueliminate maza house!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom